Bado yupoyupo anaangalia kitovu cha mshosti mwenzake. Ile kitu haitamanishi walume pake yetu bana.
We! kwa hiyo unataka kuniambi mimi natamani hicho kitovu hata siku moja,
nikitokea hapo utashikwa kigugumizi.
Bado yupoyupo anaangalia kitovu cha mshosti mwenzake. Ile kitu haitamanishi walume pake yetu bana.
Mpwa Masa una sumaku? Mtoto kakuitika. Hahahaha!
we! Kwa hiyo unataka kuniambi mimi natamani hicho kitovu hata siku moja,
nikitokea hapo utashikwa kigugumizi.
We! kwa hiyo unataka kuniambi mimi natamani hicho kitovu hata siku moja, nikitokea hapo utashikwa kigugumizi.
We! kwa hiyo unataka kuniambi mimi natamani hicho kitovu hata siku moja,
nikitokea hapo utashikwa kigugumizi.
Wala usimtokee Joy, mijitu mingine haitaniwi...!
I like that JoyceWe! kwa hiyo unataka kuniambi mimi natamani hicho kitovu hata siku moja,
nikitokea hapo utashikwa kigugumizi.
Shorwe keisha ruka zake looh ngoja nijaribu PM!
naona mchuchu kayeya!vijana tatizo mna haraka sana utadhani KIUNO CHA KWANZA
amekacha watu wamemgombania huyo.hahahahah!
Mizuka ya weekend
Masanilo hakosekani katika masuala haya, bado sijakumaliza kwa ile pic ya Tshala Muana, wee chiboko
...invizibo anawasoma tu kwenye pm zenu maanake yeye ana access zote
Kaka pole pole mimi ni mchungaji wa hawa akina Geoff, chrispin, Nguli, Fidel, Yo Yo na wafananao na hao.