Hivi Afrika ni pabaya hivi?

Hivi Afrika ni pabaya hivi?

Mzee2000

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2009
Posts
528
Reaction score
221
Hivi majuzi nimesikia waghana waliokwenda kuangalia kombe la dunia Brazil wamegoma kurudi kwao. Kisingizio eti kuna vita vya kidini kwao.Wakati inajulikana Ghana ni mmojawapo kati ya nchi zenye amani Afrika.

Kinachonishangaza, Ghana ina ahueni kiuchumi, ikiwa na kipato cha kati kama Brazil. Sijawahi kusikia Wabrazil wanakimbia nchi yao eti wanaomba 'Asylum' Afrika.

Hivi kuna shida gani Afrika? Kwanini tunakimbia bara letu hivi mpaka wengine wanakufa majini ili wafike Ulaya?

Nauliza, Africa ni mbaya hivi?Au ni tamaa zetu?
 
bila shaka wewe utakuwa liCCM ndio maana shida iliyopo Afrika.
 
Sema tamaa zako bana we niaje? sio wote tuna ndoto za kwenda ulaya...ish!
 
ccm inawakimbiza watu maisha magumu kuna wansheria,walimu ,waandisi, madaktari wengi wamekimbia
 
Back
Top Bottom