HIV test online. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HIV test online.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bishanga, Aug 16, 2012.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Enyi machichatter,nimekuwa nikifuatilia nyendo zenu kwa makini sana na nimegundua yafuatayo:
  1. Mnatongozana sana
  2. Tongozana zenu nyingi haziishii kwenye keyboard,mnachukua hatua moja zaidi.
  3. Matokeo yake wengi mnapigiana simu na kukutana pia.
  4. Binadamu ni binadamu wengi wenu mnaishia kurengetana ( which is vere gud).
  Hapa chi chat neno la bishanga ni alfa na omega,sitaki mtu anibishie kwa niliyosema hapo juu.
  Kwa kukusaidieni ili kideti cha kwanza msipoteze muda kwenda angaza au kuingia gharama za vitendea kazi, nyie mkutane moja kwa moja gesti na ikiwezekana msalule mlangoni,hivyo basi:
  Kwa kushirikiana na watafiti mahiri wa JHopkins University ya marekani tunakuleteeni kipimo cha hechiaivii on line, mnapima na majibu mnapata hapa hapa.Kwa maelezo zaidi niPM.
  UKIMPENDA UTAMJALI!
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  Bishanga mie ndo nitakua mtoa majibu ya vipimo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Kupima mchezo? Subiri uone watu watakavyokimbia majibu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Bishanga bhana umejuaje kama wana ChitChat wanaenda hatua mbele zaidi?,
  Au wewe ndio yule mwenye ma-ID mengi?
  Utafiti wako nina wasiwasi nao.
   
 6. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  kawaida mbona hiyo sa unataka tuu watu waishie online bana istoshe watu wenyewe ni weng wapo hapahapa nanjilinji, katavi,mtomdolioto aaah bishanga wachamambo yako sema tuu labda wawe serious tu na wakifanyacho heheheeee wakora waitu
   
 7. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  aiseeee kumegana ndio mpango mzima! lol! UKIMWI UNAUA!
   
 8. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,999
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  ..sasa sisi ambao tumeisha jamiiana..(socialize)..inakuaje..
   
 9. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kumbe machit machata ndivo mlivo...........
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa hujui? Sisi ni watu wa action bana,maneno machache vitendo zaidi.
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Msumari umegusa mfupa? Funguka!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Kama unabisha muulize @ kaizer.
   
 13. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Unaogopa eh?
   
 14. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Bila kifanyio?
   
 15. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  Asprin awe wa kwanza kupewa hicho kipimo, Lol.
   
 16. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Mganga wake anaitwa @ figganiga alimpa mzizi akamhakikishia hawezi kuukwaa.
   
 17. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #17
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  He dogo Bishanga vipi tena?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  siuogopi kabisaaaaaa, njoo tujaribu uone kama utapata!?
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Aug 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Bishanga ana ukimwi....
   
 20. Buntungwa

  Buntungwa JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 343
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  yote kwa yote ukimwi upo na unaua utakufa bila kutimiza malengo yako pima afya na mtulizane
   
Loading...