Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,077
Enyi machichatter,nimekuwa nikifuatilia nyendo zenu kwa makini sana na nimegundua yafuatayo:
1. Mnatongozana sana
2. Tongozana zenu nyingi haziishii kwenye keyboard,mnachukua hatua moja zaidi.
3. Matokeo yake wengi mnapigiana simu na kukutana pia.
4. Binadamu ni binadamu wengi wenu mnaishia kurengetana ( which is vere gud).
Hapa chi chat neno la bishanga ni alfa na omega,sitaki mtu anibishie kwa niliyosema hapo juu.
Kwa kukusaidieni ili kideti cha kwanza msipoteze muda kwenda angaza au kuingia gharama za vitendea kazi, nyie mkutane moja kwa moja gesti na ikiwezekana msalule mlangoni,hivyo basi:
Kwa kushirikiana na watafiti mahiri wa JHopkins University ya marekani tunakuleteeni kipimo cha hechiaivii on line, mnapima na majibu mnapata hapa hapa.Kwa maelezo zaidi niPM.
UKIMPENDA UTAMJALI!