HIV home test kit

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Katika kuhabarishana kinachoendelea kuhusu HIV ni kuwa wenzetu katika nchi zilizoendelea wameanzisha utaratibu wa kuwapa raia home test kit ili wa kipimo wenyewe nyumbani.

Kit inakuja na maelezo ya nini cha kufanya kama majibu yako yakiwa + pia maelezo kuhusu tiba iliyoko sasa na kuwa daktari atakufahamisha zaidi.

Pia wagonjwa wote wanao kwenda Accident and Emergency wanashauriwa kupima HIV.

Hii ni katika kufikia lengo la WHO kuwa ifikapo 2020 waathirika wote wawe kwenye tiba ili kuchibiti maambukizi mapya.
 
Kit inakuja na maelezo ya nini cha kufanya kama majibu yako wa + pia maelezo kuhusu tiba iliyoko sasa na kuwa daktari atakufahamisha zaidi.

Pia wagonjwa wote wanao kwenda Accident and Emergency wanashauriwa kupima HIV.

Hii ni katika kiti hasa la kufikia pengo la WHO kuwa ifikapo 2020 waathirika wote wawe kwenye Tina ili kuchibiti maambukizi mapya.
Ni jambo zuri...ila kwa nchi zetu hizi ambazo maisha yametujaza msongo wa mawazo hili linawezaje kufanikiwa tukitaka kulijaribu...kama mtu anaenda VCT na kukimbia majibu itakuaje kujipima home?
 
Katika kuhabarishana kinachoendelea kuhusu HIV ni kuwa wenzetu katika nchi zilizoendelea wameanzisha utaratibu wa kuwapa raia home test kit ili wa kipimo wenyewe nyumbani.
...
Hivi unajua kuwa HIV ni kirusi ambacho hakijagunduliwa na vipimo (test) zake huonesha matokeo tofauti kwa mtu huyo nyakati na mahali tofauti?

Usipoteze muda na fedha zako kununua kitu kisichotoa majibu ya uhakika kwa kupima kitu kisichikuwepo.
 
Unapimwa na kukimbia majibu!!
 
Hivi unajua kuwa HIV ni kirusi ambacho hakijagunduliwa na vipimo (test) zake huonesha matokeo tofauti kwa mtu huyo nyakati na mahali tofauti?

Usipoteze muda na fedha zako kununua kitu kisichotoa majibu ya uhakika kwa kupima kitu kisichikuwepo.
Vinatolewa bure mkuu
 
Ina depend ila elimu kwa hapa kwetu inahitajika zaid juu ya utayari wa kupima pia serikali kwa sasa inafanya kazi kwa ukaribu sana na private hospital ili kufikisha huduma ya upimaji bure kabisa
 
Haya sawa endeleeni hivo hivo, ila mnachokitafuta mtakipata soon
 
Hii at least itanishawish kupima kuliko kwenda hospital, wanapokileta wasisahau na cha malaria
 
Dawa ya uhakika ya Ukimwi iliyobaki ni Kumwomba Mungu kwa bidii ili aondoe ugonjwa huo kwa mgonjwa.
Wanaojiita wanasayansi na Madaktari wamejionesha kushindwa kuutibu huu ugonjwa.
Ni maombi tu yatakayotunusuru na hili Janga.
 
Tuache kungonoka
Ukimwi hauenezwi kwa kungonoka tu.
Madaktari wanaambukizwa wakati wa kutibu wagonjwa.
Walezi wanambukizwa wakati wa kuhudumia wagonjwa.
Wanandoa wanaambukizwa na wanandoa wenzao.
Matumizi mabaya ya vitendea kazi pia yanaambukiza huu ugonjwa.
Sio wagonjwa wa Ukimwi wote wameambukizwa kwa
Ngono.
Kumbuka pia hakuna binadamu kamili asiye fanya Ngono
 
Katika kuhabarishana kinachoendelea kuhusu HIV ni kuwa wenzetu katika nchi zilizoendelea wameanzisha utaratibu wa kuwapa raia home test kit ili wa kipimo wenyewe nyumbani.

Kit inakuja na maelezo ya nini cha kufanya kama majibu yako yakiwa + pia maelezo kuhusu tiba iliyoko sasa na kuwa daktari atakufahamisha zaidi.

Pia wagonjwa wote wanao kwenda Accident and Emergency wanashauriwa kupima HIV.

Hii ni katika kufikia lengo la WHO kuwa ifikapo 2020 waathirika wote wawe kwenye tiba ili kuchibiti maambukizi mapya.

Kwahiyo unataka kusema kwamba Gitaa zuri la ' Dally Kimoko ' liwe linaanza kusikilizwa mapigo yake kuanzia ngazi za Kaya / Nyumba?
 
Wanataka kujua soko lao la kuuza dawa litakuwaje kufikia mwaka huo, yani faida itakuwa kubwa kiasi gani kupitia maumivu kwa watu wengine.
 
Back
Top Bottom