Hiv hiki kitu kimekaaje

Hiv hiki kitu kimekaaje

Mapenzi ni mkataba wa hiyari,
na hiyari yazidi utumwa..

mapenzi sio kipofu ila watu wanaopenda ndio hujifanya vipofu,
hawawezi kuona ilhali wana macho ya kutazama..

na hapo ndipo wanapo thubutu kujivuna na kujivunia UJINGA na UPUUZI kwa matokeo ya kitabu cha kitoto na upumbavu.

"UPWEKE wa moyo huondolewa na rafiki mmoja tu aitwae UPENDO"
Ama kweli upendo hupofusha macho
 
Tena ushindwe na ulegee.

Mazowea sitaki.
Hahahaha wanawake Wa hivi huwaga watamu maana kila akijibu kwa hasira ni kama ananichochea

Nilitaka kuahirisha lkn sasa ngoja nivalie njuga nione huko kulegea kunakuwaje
 
Back
Top Bottom