Hiv hiki kitu kimekaaje

Hiv hiki kitu kimekaaje

Nkolandoto

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2016
Posts
4,102
Reaction score
4,031
FB_IMG_1518419043360.jpg
 
Unakumbuka Bob Marley alishatuusia kuwa "No Woman No Cry" ...Vilio,mabeef, presha,kukonda kwa mawazo kwa jinsia Me kwa sehemu kubwa huletwa na wanawake...japo ni mama zetu ila chamoto tunakiona
 
Unakumbuka Bob Marley alishatuusia kuwa "No Woman No Cry" ...Vilio,mabeef, presha,kukonda kwa mawazo kwa jinsia Me kwa sehemu kubwa huletwa na wanawake...japo ni mama zetu ila chamoto tunakiona
Mkuu kweli cha moto.........
 
Teeeh teeeeh teeeh.
Ngoja wenyewe waje
 
Mapenzi ni mkataba wa hiyari,
na hiyari yazidi utumwa..

mapenzi sio kipofu ila watu wanaopenda ndio hujifanya vipofu,
hawawezi kuona ilhali wana macho ya kutazama..

na hapo ndipo wanapo thubutu kujivuna na kujivunia UJINGA na UPUUZI kwa matokeo ya kitabu cha kitoto na upumbavu.

"UPWEKE wa moyo huondolewa na rafiki mmoja tu aitwae UPENDO"
 
Back
Top Bottom