Hitwe ni mtandao gani?

Hitwe ni mtandao gani?

kaziba mdomo? labda ana mdomo wa sungura

kubwa ukituma mkwanja umeliwa.
 
hao mbona wapo wengi siku hizi. kila siku wanabuni mbinu mpya za kula kisicho fanyiwa kazi,achana naye au kama vipi aje,tena mwambie aje na rafiki zake........
 
Back
Top Bottom