Hitwe ni mtandao gani?

Hitwe ni mtandao gani?

Umeliwa bro. Wala.usije ukathubutu. Kama huamini tuma.
 
HII CHAI
Ulimwanbia aje kwenu afu mwishoni ..ukaandika aje kwako wakati unaishi kwenu
 
Fanya kazi mapenzi yatakulostisha hizi issue ni za kijinga ulizouliza.
 
Mwambie akope aje kisha utam-refund akifika kwako
 
mahusiano ya mtandaoni ful kurisk ila vilevile nisingekushauri siku ya kwanza aje kwako ni bora nyumba ya wageni, na vya kurushiana pesa mmmh atumie zake utamrudishia
 
Hizi nyuzi nyingine wala hata sio za kukomenti ushauri
 
Wanajamii hii mitandao mingine ya kijamii yakuangalia matumizi yke kwani kuna dada poa wanajiuza,wengine ni mawasiliano ya kawaida.
Basi kuna binti mmoja nilijaribu nione je inawezekana ukafanikiwa kumpata mpenzi kwa njia ya mtandao basi nikaomba awe mpenzi wangu akakubali na mpaka sasa tuna mawasiliano naye mazuri na nilimkaribisha afike kwetu amekubali na kunipa masharti ya kukaa na mimi kwa wiki moja halafu atarudi kwao na amenipa masharti nikitaka aje lazima nimrushie hela ya nauli na hela ya chakula njiani.

Sasa naombeni ushauri je hawezi kuwa tapeli na je kweli inawezekana kukubali kiurahisi namna hyo kwani haujaisha hta mwezi mmoja toka tuwe na mawasiliano naye.

kwa wenye uzoefu wa mapenzi ya mitandao je anaweza akanifaa katika maisha,na nyongeza kwenye picha zake ameziba mdomo usionekane vizuri na nilipomwuliza alinijibu sio kazi yangu kujua na alikasirika sikuelewa ni kwa nini napata wasiwasi kidogo kwanini apate hasira kwa jambo hilo.
Naombeni ushauri kwani jumamosi hii ndio atafika kwangu na nilimwahidi kumtumia hela ya nauli na chakula njiani kesho ijumaa.
Inaelekea mtoa mada ni mfuasi wa chama Fulani cha kijani au rangi ya mbogamboga nchini tz
 
Mkuu hapo kwenye nyongeza za picha zake ameziba mdomo pawekee mabano na kiulizo.
Atakuwa shoga huyo, nilishakumbana na mse*ge mmoja fb mwenye swaga hizo niliishia kumblock.
 
Back
Top Bottom