Jana niliserch network manuakly eneo nililokuwa nikakuta kuna mtandao unaitwa HITZ TZ je hii ni kanpuni gani.
Ndio maana niliuliza Hitz tz ni kampuni gani.
Jana niliserch network manually eneo nililokuwa nikakuta kuna mtandao unaitwa HITZ TZ. Je hii ni kampuni gani?
Huu ni mtandao wa simu ambao ulikuwa uanze kufanya kazi Tanzania tangu mwaka 2010.walijenga minara kwenye miji mikuu na baadhi ya highways hapa TZ! HQ ya hii kampuni ilikuwa pale Jirani na Heineken house mikocheni kama unatokea mjini kuna jengo hapo ambalo kwa sasa linafanyiwa ukarabati na walijenga mnara mkubwa sana pale! Ila 2012 walishindwa kufungua hiyo kampuni kwa sababu ambazo sizielewi, wakango'a baadhi ya minara wakahamia DRC. Kuna minara mingi tu waliacha na bado iko idle! Nafikiri nimekujibu mkuu!
Inawezekana sababu sehemu walipojenga hii minara mipya ya vittel ndio inapatikana hii hits tz, kwahiyo itakuwa hawa vittel wamewasha inara yao ila hawajaanza huduma.View attachment 285883
Nilichokigundua ni kuwa, eneo ambapo naipata Vietel hii Hits Tz haipatikani. Hivyo kwaufupi yawezekana Hits Tz ndio Vietel