Hits Tanzania ni mtandao gani?

Hits Tanzania ni mtandao gani?

Ni viettel. Nadhan wamewasha minara yao nchi nzma. Kwangu inasoma 2g na 3g forbidden
 
Jana niliserch network manually eneo nililokuwa nikakuta kuna mtandao unaitwa HITZ TZ. Je hii ni kampuni gani?

Nipo arusha pia naona hitz 3G
 

Attachments

  • 1442084900797.jpg
    1442084900797.jpg
    27.1 KB · Views: 219
Nasikia vietell watatumia jina la HALOTEL
 
Ni kweli,cambodia(unitel) east Timor (telemor) Haiti (natcom) Peru (bitel) msumbiji(movitel) comeroon (nexttell) burundi (lumitel) tanzania (halotel)
 
Vietel wataanza mwezi ujao
 

Attachments

  • 1442456655217.jpg
    1442456655217.jpg
    19.2 KB · Views: 122
Hao ni vietel. Wameshawasha minara yao. Nimebaatika kuwaona ma freelancer wanao wanao wachukua kwa ajili ya kuja kuwasambazia line zao.
 
Halotel ndo viettel huku kwetu washafungua ofisi.
 
Huu mtandao 64008 ni upi nao. After all manual searches i do. Nauona... Kwa faida ya wengi tujuzane hapa. Karibuni
 
Back
Top Bottom