Hitler yuko wapi?

mimi nilipost uzi kamaf wako wakaufuta sikujua kwa nini ulifutwa
 
Ikifikia hatua hii ndiyo mtu unaamua kutumia njia mbadala kwa muda, dawa ni kuyatuma majini sugu ya milimani na baharini yamsake kokote aliko hata kama ni kuzimu wasi waliompeleka bila kujali vyeo vyao wao wasombwe! Ni muda wa maamuzi magumu kwa wanafamilia kulifanyia kazi jambo hili.
 
Nikajua ni News Alert[/blue] ya kweli, kumbe ni yale yale tu...
 
Inashangazaaa aiseee,sio ben wala zile maiti za mto luvu vyenye maalezo ya kutoshaa.

Muhesimiwa mwigulu najua uko humu unatuchora tuu.
 
Usijali sana, anaweza kuwa futi sita kuelekea chini hapo ulipo!
 
Bashite na timu yake wanahusika ndio maana mkuu anakua mbogo yeyote anayemgusa bashite
 
Hivi col Issaack Malyamungu alifia katika battle auuu nataka nivute picha ya cal me Anko j
 
Ben Saanane amefichwa na viongozi wa CHADEMA akina Mbowe......Mbowe hana tofauti na akina Adolf Hitler
 
Moi alikuwa na Nicholas Biwott a.k.a Tatal man,na kenyata alkuwa na Charles Njonjo,Magufuli ana Mwakyembe na Bashite hao ndo Akina Hitler wa kizazi hiki.
 


Chadema ndiyo wanajuwa ukweli wa huyu kijana wao....wasingejuwa uhakika wa huyu kijana yuko wapi LAZIMA wangetokwa na povu tu.
 
Ben Saanane amefichwa na viongozi wa CHADEMA akina Mbowe......Mbowe hana tofauti na akina Adolf Hitler


Mbowe kamficha makusudi ili kupotosha umma, ndiyo maana unaona CCM haisemi kitu kwani wanasubiri Chadema wapige kelele then watumbuliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…