Nina software ya kuunguza simu yoyote ambayo namba yake inanisumbua!! Ngoja niitrack hio namba! Haitakuaumbua tena!!Kuna namba hii
0754125125.
Mala nyingi naikuta kwenye simu yangu ikichepushwa ipokee simu zangu bila mimi kuchepusha(namanisha call divet).
Mala nyingi imenitokea, ilianza baada yaku... Mkulu kwenye uzi mmoja hapa jf. Kuwa makini mathinker wenzangu.
Hujaelewa ??? Great thinkers wamesoma ujumbe uliopo nyuma ya hiyo phone rudi post # 1 usome bila vigingiunaleta mzaha kwenye mambo mazito.Unataka uambiwe nini?
damu ya mtu hunukaalama za damu huwa hazifutiki
Siro siro siroooooo
Unawaumbua na ukweli usio na mashaka from your logical analysis of the trend you narrated[emoji102] [emoji102] [emoji102] kisa?
Uzi gani huo mkuu???Ni namba ya Voda haina shida kuna uzi huku unatoa ufafanuzi wake
Sawa.Ngoja niutafute takutag
Miaka nane ijayo hali itakuwa tete zaidi hata kipofu ataona hizo alamaNi kweli ila wa nyuma walikuwa makini zaidi japo nao waliacha alama za hapa na pale
uko vizuri kung'amua mambo ya siri na mafumbo!Hujaelewa ??? Great thinkers wamesoma ujumbe uliopo nyuma ya hiyo phone rudi post # 1 usome bila vigingi
Unaona mbali zaidi ya uwezo wa macho yako hongera kwa utambuziuko vizuri kung'amua mambo ya siri na mafumbo!