Ubavu
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 2,790
- 3,254
Ni kama utani vile lkn ni ukweli,,,, Raisi wa kwanza wa Kenya Mzee Jomo Kenyatta aliyekaa, na Raisi wa pili wa Kenya Mzee Daniel Moi aliyesimama mwenye suti mistari mistari na Raisi wa tatu wa Kenya Mwai Kibaki aliye inama kashika magoti pamoja na Raisi wa sasa Uhuru Kenyatta alipokuwa mdogo amekaa pembeni ya baba yake........ PICHA HII MIAKA YA 70s