Historia yake inamfanya asiniamini

Historia yake inamfanya asiniamini

Yeye ndie alietoroka, akaenda buguruni kimboka kukiuza,
Ukamshauri bado akarudi kukitembeza, kapewa mimba na kaitoa,

ALAFU YEYE NDO HAAMINI WANAUME?

Brother, it's wise to follow your heart, but take your brains with you!

Hakufai.
Noted
 
Huko kulazimisha mambo kwa kisingizio cha moyo ndo huja kujuta baadae...

Keshasema hamwamini mwanaume, hilo ni jibu tosha la kukaa mbali nawe, kabla hajawaza kukuumiza na wewe...
 
Na watoto wazuri wote mtaani unakosa wa kujihifadhi kwake?? Huyo hakufai hapo dude limelala, likiamka huna chako!!!
 
Back
Top Bottom