Kuna muhogo mweupe. Ugali unatoka wa brown hivi. Ukipata na mchuzi wa nyama unatembea sana.huku kwetu ugali unaopikwa kwa unga wa muhogo tunauita bada upate na mchuzi wa chukuchuku wa kuku wa kienyeji sjawahi kuweza kula huo ugali ni mweusi unanatia mikononi.
mimi napenda bada la kuchanganyia yan unga wa sembe na huo wa muhogo kidogo upate na bamia la kukoroga na vijisamaki vya leo leo ntakula mpaka mkimbie lakini upikwe huo wa mhogo peke siuwezKuna muhogo mweupe. Ugali unatoka wa brown hivi. Ukipata na mchuzi wa nyama unatembea sana.
Nimecheka sana japo umeongea ukweli sisi vyakula vyetu vya asili nadhani ni mizizi,asali na matunda pori kama mabungoUtamsikia mbongo " hivi ndiyo vyakula vyetu vya asili waafrika" nawaangalia halafu nasema hiii! Mahindi asili yake bara Amerika, viazi utamu Amerika, viazi ulaya, ulaya, mchele Asia japo kulikuwa na mchele pori west afrika. Migomba ni South east Asia kama sikosei miwa nayo hukohuko. Ngano mashariki ya kati. Matunda ya kizungu na mboga kama chinese ndiyo usiseme.
Vyakula vyetu vya asili nafikiri ni ulezi, mtama na magimbi. Ulezi ni bonge la nafaka. Ulezi una madini chuma mengi sana. Ni moja kati ya nafaka zenye nguvu. Tumeiacha na kukimbilia ugali.
Lile la mhogo pekee lipikwe na kuku mtetea achemshwe kwenye chungu na chumvi, mbirimbi na ka pilipili kichaa kamoja. Ninakumbuka tulikua tukienda kwa bibi kuku hapakuliwi mnakula kwenye chungu na bada linapakuliwa juu ya majani ya mgomba kwenye ungo. Ndiyo chakula cha wageni.mimi napenda bada la kuchanganyia yan unga wa sembe na huo wa muhogo kidogo upate na bamia la kukoroga na vijisamaki vya leo leo ntakula mpaka mkimbie lakini upikwe huo wa mhogo peke siuwez
Bada na kikando ushaonja weweBada mwenzie bobwe [emoji108][emoji108][emoji3][emoji3]
Bada na kikando ushaonja wewe
Nyama pori iliyokaushwa nikienda kwa bibi Lutindi Korogwe lazima anioikie hiyo mgosiKikando sikijui @ Mwenehu! [emoji3][emoji3]
Mhogo ni mweusi??huku kwetu ugali unaopikwa kwa unga wa muhogo tunauita bada upate na mchuzi wa chukuchuku wa kuku wa kienyeji sjawahi kuweza kula huo ugali ni mweusi unanatia mikononi.