Historia ya Uhuru wa Tanganyika

Mzee Msham anaonekana alikua na umri mkubwa kumzidi Mwalimu Nyerere. Pia kutakua na wazee wakati huo walikua wakubwa kuliko Mwl. Nyerere maana anaonekana alikua bado kijana kabisa.

Ikiwa sasa Mwl. Nyerere anatambulika kama Baba wa Taifa, hao wazee wataitwaje? Au ndio Mababu zetu??

Hivi kutakua na Mzee yeyote aliye hai hadi hivi sasa na alikua kwy harakati za uhuru kipindi hicho na alikua labda na umri mkubwa zaidi ya Mwl. Nyerere?? Let's say 10+ years older than Mwalimu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…