Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 6,048
- 15,611
Wewe umeona wazee wangapi wa 60+ wanakatiza mjini na pence?kwa hiy oLe mutuz ni msela
Wewe umeona wazee wangapi wa 60+ wanakatisha mjini na pence?
Mimi ni baharia
Wewe umeona wazee wangapi wa 60+ wanakatiza mjini na pence?
Kama hawajaelewa basi tena DMI hoyeeeeMsela = Sailor
Hilo lilitokana na meli na majahazi ya zamani ya mizigo na abiria kutumia matanga "sailing". Mfanyakazi wa hizo meli na jahazi za matanga ndio "sailor" kwa Kiswahili wakamuita "msela",
Baharia = Seaman
Meli na majahazi ziliposita kutumia matanga na kutumia nishati zingine mbafala ndiyi ikawa hao wafanyakazi humo huitwa mabaharia au Seaman kwa kuwa hawa "sail" tena.
Kwa maana nyingine huyu mleta mada tunaweza mwita "offshore baharia"Msela = Sailor
Hilo lilitokana na meli na majahazi ya zamani ya mizigo na abiria kutumia matanga "sailing". Mfanyakazi wa hizo meli na jahazi za matanga ndio "sailor" kwa Kiswahili wakamuita "msela",
Baharia = Seaman
Meli na majahazi ziliposita kutumia matanga na kutumia nishati zingine mbadala ndiyo ikawa hao wafanyakazi humo huitwa mabaharia au Seaman kwa kuwa hawa "sail" tena.
Hao "mabaharia" wa nchi kavu labda ungesema "onshore mabaharia" maana shughuli za mabaharia takriban wote ni "offshore".Kwa maana nyingine huyu mleta mada tunaweza mwita "offshore baharia"
Baharia wa bahari kuuKwa maana nyingine huyu mleta mada tunaweza mwita "offshore baharia"
Huyu ni baharia mkongwe.kwa hiy oLe mutuz ni msela
Uko sahihi, ila teknolojia ya matanga sasa inatumika kama mbadala kwenye meli zinazotumia mafuta ili kupunguza uchafuzi wa mazingira na gharama za uendeshaji.Msela = Sailor