Historia ya Mzee Kipusa

Aisee!hadi machozi yamenitoka umepitia mambo magumu sana hata kama ni mwanaume hapana hustahili hayo, kuna chuki kubwa ndani ya familia yako juu yako nadio inayokufunga kwenye harakati zako

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku kuna Ndugu upande wa Mama , alikuja kuishi pale nyumbani kwetu.

Aliwahi kunitamkia " Huwezi kamwe kuwa mtu mkubwa wala kufika kokote" .

Nakumbuka mwaka huo nilifanya interviews nyingi sana ...KILA mwezi interview zaidi ya 3...lakini sikupita hata Moja.

Nakumbuka kuna Moja , jina langu tayari lilikua limebandikwa ubaoni kwamba nimefaulu...then baadae likakatwa.
 
Kuna watu na baadhi yao ni ndugu huenda kuchungulia huko gizani na kuambiwa ili wafanikiwe inabidi wamfunge fulani kwakuwa nyota yake inawaka sana kuliko yake....!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku maisha yalinipiga sana nikakimbilia nyumbani kwetu ambako kwasasa sitakiwi tena kurudi....(na Mimi nimeapa nitarudi nimetoboa au marehemu.)

Nikiwa kitandani nimelala...nilistukia napigwa na kitu kizito kichwani mithiri ya nyundo...nikaamka..huku na wenge..nikawa naweweseka...hata nisimuone aliyenipiga hiyo nyundo. Fahamu zikarudi baada ya one minute...huku nasikia maumivu MAKALI sana.

Kuamka Asubuhi....kucheck kwenye pillow..nikakuta karatasi nyeupe imefungwa vizuri ndani yake kuna viunga vyeupe. Sikuelewa kwà kweli.
 
Kwa miaka yote hiyo hukuweza kugundua kuwa wewe ni tatizo? Tangu shule unakataliwa huoni wewe ni mzee wa kuweka pua yako kwenye yasiyokuhusu?
 
Kuna watu na baadhi yao ni ndugu huenda kuchungulia huko gizani na kuambiwa ili wafanikiwe inabidi wamfunge fulani kwakuwa nyota yake inawaka sana kuliko yake....!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ipo sana huwezi amini.

Tena hata mtu akifa watu huendeleza libeneke na nyota yake.

Hufanywa hata kwa ukoo mzima kama hatua za dharura hazichukuliwi.

Watu husema ni imani tu lakini mambo haya yapo.
 
Kwa miaka yote hiyo hukuweza kugundua kuwa wewe ni tatizo? Tangu shule unakataliwa huoni wewe ni mzee wa kuweka pua yako kwenye yasiyokuhusu?
Unanisaidiaje? Maana nateseka sana. Ndio kusema hata shule sikutakiwa kusoma, is that what you mean?
 
Hii ipo sana huwezi amini.

Tena hata mtu akifa watu huendeleza libeneke na nyota yake.

Hufanywa hata kwa ukoo mzima kama hatua za dharura hazichukuliwi.

Watu husema ni imani tu lakini mambo haya yapo.
Ongezea nyama bro
 
Kuna mambo mengi wahitaji msaada khasa wa kisaikolojia.

Maana kuna mahala umesema ulishauri shughuli ya Kibiti isitumie jeshi lakini si kweli kwani kikosi maalum cha JWTZ kilitumika kule na kikafanya operesheni ambayo haikuwahi kutokea nchini Tangu vita ya Uganda.

Ni IGP ndie aliomba msaada wa JWTZ maana polisi walikuwa wakiuawa kama kuku.

Na ndo maana hata media ilipigwa marufuku kuripoti operesheni ile.

Msaada mkubwa kwako kwa sasa ni kujisalimisha ustawi wa jamii lakini kamwe usikubali kupelekwa Mirembe maana hali yako itakuwa "more worse".
 
Ndugu..nimesema ukweli...na nilienda Wizara ya mambo ya ndani...enzi hizo ikiwa pale Posta ikitizama na na NEC....ile ofisi ya kitengo cha Ugaidi ilikua ghorofa ya 7 kama sijakosea.....

Na mistake kubwa ambayo walikua wanaifanya Polisi..ni kushare misosi ya mitaani na Magaidi ( so wakawa wanakua initiated easily ) . Hawakua na chakula special.

Tuliongea mengi siwezi kuyasema hapa.....na yalienda kufanyiwa Kazi. And within a very short time ...pale KiBiTi palitulia.

Ustawi wa Jamii kufanya nini Ndugu? Nipe maelekezo.
 
Jamaniii nmesoma hadi machozi yamenilenga
Mungu akusaidie seems una roho ya kukataliwa endelea kusali Mungu atakuonekania tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…