Historia ya mtu ni muhimu kwa kiongozi

Historia ya mtu ni muhimu kwa kiongozi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,255
Reaction score
16,185
Asilimia 80 ya abusers walikuwa abused pia. Kiongozi aliyepata tabu sana utotoni na kwenye maisha atapenda na wengine wapate tabu. Mzazi aliyechapwa Sana hadi akafanikiwa atawachapa wanawe pia Kama njia ya kutaka wafanikiwe.

Ukipata kiongozi ambae makuzi yake hayakuwa ya taabu atapenda wafuasi wake wasipate tabu pia (bata).

Kanuni inasema pia, watu ambao wana historia ya kuchunga wanyama Kama mbuzi, kondoo, ng'ombe na ngamia utotoni na ujajani Ni viongozi makini Sana na wenye maono.

Msishangae hii ni kanuni. Uchaguzi unakaribia kagueni historia za makuzi na maisha ya wagombea kabla hujawachagua.
 
Back
Top Bottom