Historia ya Mitaa mbali mbali ya Jiji la Dar Es Salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Historia ya Mitaa mbali mbali ya Jiji la Dar Es Salaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba Kimoko, Sep 10, 2012.

 1. B

  Baba Kimoko Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa nini iliitwa majina hayo?

  Azikiwe, Samora, Pamba, Garden, Mkwepu, Makunganya, Shauri Moyo, Jamhuri,Uhuru, Kongo, Chole.

  Ongezea mingine...
   
 2. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Nnamdi Azikiwe alikuwa ni kiongozi wa kwanza wa Nigeria mara baaya uhuru wa nchi hiyo. Barabara yetu ile maarufu imepewa jina hilo kama kumbukumbu yake. Alifariki mwaka 1996.

  Samora Machel naye, kama Azikiwe, alikuwa ni kiongozi wa Msumbiji aliyepinga utawala wa amakaburu wa Afrika Kusini. Alifariki kwenye ajali ya ndege mwaka 1986. Mjane wake ndio mke wa Mandela wa sasa.

  Hassan Omari Makunganya alikuwa kiongozi wa Wangindo (sina uhakika sana na kabila). Aliongoza watu wake kupigana na Wajerumani dhihi ya utawala wa Wajerumani. Alishirikiana na akina Kinjekitile Ngwale katika vita iliyojulikana kama Majimaji (1905 - 1907)
   
 3. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  mtaa wa Lindi...
  Mtaa huu ndio mrefu kuliko mitaa yote hapa Dar.

  Mtaa wa Agrey...
  Huu ni mtaa wa pili kwa urefu Dar.

  Mtaa wa Congo...
  upo Kariakoo.
  Huu ni mtaa ambao una pilika na Tashtiti kuliko mitaa yote Tanzania.
  Halahala, Mtaa huu ukijishaua kuzubaa tu unaibiwa.

  Mtaa wa Sikukuu...
  Mtaa huu ni mtaa unaouza madiko diko usiku kucha.
  Nenda muda wowote mtaa huu utapata Chakula.
  huu pia uko Kariakoo.

  Mtaa wa Chui...
  Pia nao upo Kariakoo.
  Ni mtaa unaoaminika kuwa na walaji Mirungi kuliko mtaa wowote Dar es Salam.

  Mtaa wa Pemba...
  Upo Kariakoo.
  Umelaaniwa, hauna Lami.
  kwa taarifa yako mtaa huu unapita katikati ya soko kuu la Kariakoo.

  Mtaa wa Swahili.
  Huu mtaa upo Kariakoo.
  Mtaa huu unaanzia Kariakoo Shimoni unaishia Gerezani.

  Mtaa wa Twiga.
  Upo Kariakoo.
  Ndipo lilipo jengo la club yenye mafanikio zaidi hapa nchini.
  Hapa naizungumzia club ya YANGA.

  Itaendelea...
   
 4. s

  sumbika New Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lete na zingine mapema
   
 5. m

  mikogo Senior Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mtaa wa mtogole je?
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Gang Chomba

  Mkuu ebu tufahamishe huo mtaa wa Lindi mrefu kuzidi yote kariakoo unaanzia wapi na unaishia wapi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Asante Ritz kwa swali lako.
  Awali ya yote napenda kukuelewesha kuwa sijasema mtaa wa Lindi ni mrefu kuliko yote Kariakoo.
  Nimesema mtaa wa Lindi ni mrefu kuliko yote hapo Dar na unaanzia Mnazi mmoja mpaka Ilala...
   
 8. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  Kuna haja ya kuelimishwa kutofautisha kati ya Barabara, Mtaa na kitongoji.
  Mtoa mada anataka kujuwa historia ya mitaa mbalimbali hapa Dar halafu ndani ya thread yake anaweka CHOLE bila kufahamu kuwa CHOLE ni barabara na si mtaa.

  Hivyo na wewe umepazungumzia kwa Mtogole.
  Kwa Mtogole ni kitongoji, kama ilivyo kwa Tumbo, kwa Sadala, kwa bi Nyau, kwa Aziz Ally, au kwa Gang Chomba na si mtaa...
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu mtaa wa Lindi na mtaa wa Congo au Msimbazi upi mrefu au mtaa wa Agrrey.
   
 10. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280

  asante Ritz...
  Mtaa wa Lindi unabaki kuwa zaidi kwa Kongo na Agrey...
  agrey unaufuatia Lindi.
  Congo umeanzia Jangwani na kwenda kugota Gerezani pande za Nkrumah, ni mtaa ambao naweza kutembea bila hata kununua maji njiani.
  Ila Lindi weeh...
  Then kuna mtaa uko kule Masaki nao ni mrefu saana ingawa jina lake limenitoka.
  Na hivi karibuni Msimbazi ulipewa hadhi ya kuwa barabara na si mtaa tena.
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Gang Chomba,
  Ebu twende taratibu mtaa wa Lindi unaazia wapi na unaishia wapi? Halafu hunajua Aggrey unaanzia wapi na unaishia wapi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Uwanja wa fisi???

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 13. hendeboy

  hendeboy JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ahsanteni kwa taarifa
   
 14. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #14
  Dec 3, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Samora avenue zamani ukiitwa independence aveneu. sokoine drive zamani ikiitwa city drive.
   
 15. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Majina ni kwa ajili ya kuwaenzi wapigania uhuru wa tanganyika na wanasiasa mbalimbali ea nchi za afrika. ali hassan mwinyi road,bibi titi mohamed road,lumumba road,nkrumah road,nyerere road, mandela road, sam nujoma road.
   
 16. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #16
  Dec 3, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Mtaa wa shaaban robert; mtaa ea mirambo.
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Dec 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Gang Chomba hebu tufafanulie hapa ili hata sisi wakuja tuelewe kuhusu huu mtaa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #18
  Dec 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 407
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Kabla ya kuitwa Independence avenue unajua ukiitwaje? Acacia street
   
 19. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #19
  Dec 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 407
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mtaa wa Swahili unaanzia Pale mataa ya kuongozea magari ya Fire mpaka gerezani
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Dec 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu usisahau Congo inaanzia Jangwani mpaka Gerezeni. Vile vile usisahau Aggrey inaanzia Kariakoo ya Muheza mpaka Samora.
   
Loading...