maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 654
- 1,397
- Thread starter
-
- #81
JIna akimkuta mtu mwenye elimu ya dini atatandikwa mpaka unamuonea hurumaHao wote humu wanaongea vitu wasivyo vijua na ni kwakuwa wame aminishwa au kufundishwa tofauti na watu walio wafundisha hawana taarifa sahihi kuhusu majini ,
But all in all Majini yapo na sio kitu Cha mchezo hakuna binaadamu mwenye uwezo wa kushindana na jini hata siku Moja ni intelligence creature kuwahi kuexist duniani Aisee it's more than scary
Wewe sikia hivyo hivyo tu
Hakuna jini wakawaida majini wote ni changamotoSio kwamba majini wengine ni wa kawaida tu au wote sio wa kuwachezea?
Uongo labda yawe yale ya kuundwa macheketu ,JIna akimkuta mtu mwenye elimu ya dini atatandikwa mpaka unamuonea huruma
Kwasababu uislam unatumia culture ya Majini Kwa ukaribu zaidi kuliko ukristoMajini na uisilam ni Kama SAMAKI na MAJI. Huwezi kutenganisha
Jikaze braza..😅Weee nisije nikauponza. Wacha tuendelee kupambana na nyie wajukuu wa nyerere. Siendi baharini usiku mm
Nani anaficha hayo mambo?Majini ndio waasisi waimani zote duniani SEMA huo ukweli unafichwa
Ila Imani zote zimeundwa na majini na watu wanaofanya ibada katika hizo Imani wanafanya ibada kuwaabudu majini na mizimu lakini hawajui ni mambo ambayo yamefichwa
Usicheke mkuu kiukweli binafsi inaniwazisha sana hii hali ya watu kutoamini haya mambo na bado yanawapata watu kama wao tuNimecheka Sana kmmk 😁😁
Society Ya hizo diniNani anaficha hayo mambo?
No roho ukiwa mtu wa imani unaweza kupambania nayo!Hao wote humu wanaongea vitu wasivyo vijua na ni kwakuwa wame aminishwa au kufundishwa tofauti na watu walio wafundisha hawana taarifa sahihi kuhusu majini ,
But all in all Majini yapo na sio kitu Cha mchezo hakuna binaadamu mwenye uwezo wa kushindana na jini hata siku Moja ni intelligence creature kuwahi kuexist duniani Aisee it's more than scary
Wewe sikia hivyo hivyo tu
Ni ukosefu wa experiences ya unseen world na ukosefu wa elimu nothing muchUsicheke mkuu kiukweli binafsi inaniwazisha sana hii hali ya watu kutoamini haya mambo na bado yanawapata watu kama wao tu
Soma vizuri nilichokiandika.Malaika hakuwa Ibilisi,ila Jini ndiyo Ibilisi na kosa lake ni kutokukubali kumsujudia Adamu
Kipi kinadhihirisha kuwa hakuna majini wa kawaida na kwamba wote ni changamoto?Hakuna jini wakawaida majini wote ni changamoto
Hayo ni mashetani huenda alitumiwa na mtu na wapemba wengi ndio hutuma majini kwa watuKuna mtu namjua yamemfanya kiziwi na haongei labda aongee mwenyewe mwaka wa 10 huu na ni binti yamemuachisha na shule halafu mtu anasema ni fikra zetu tu hivi wengine mnaishi mitaa ipi haya hayawapati na sisi tuje🙄
Huwezi kupambana na jini Mzee trust meNo roho ukiwa mtu wa imani unaweza kupambania nayo!
Kwahiyo baadaye ndio wengine wakaacha uislamu na kuwa mizimu?Majini ndio Waislamu wa kwanza:
Allah Alivyo waumba kabla ya Binadamu walikuwa wakimwabudu kwa misingi ya Uislamu:
Baadae ndio yakamchagua Muhamadi ili atangaze Uislamu kwa watu:
Kule Pangoni Muhamadi alitokewa na Mijini kwa idhini ya Allah na kumwamrisha asilimishe watu ili wawe Waislamu:
Kwenye Qurani Majini yanajitambulisha kwa jina la
NASI:
4:79 - Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako.
Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
72:13 - Nasi tulipo usikia uwongofu tuliuamini. Basi mwenye kumuamini Mola wake Mlezi basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa.
"Nasi ni Waislamu"
"Mola Mlezi"ndio sifa kuu ya Allah
Njoo nikuonyeshe jini kaka Ila uwe na roho ya kiumeMajini haya-exist. Ni imaginations za watu tu na zilinzia middle east.
First of all ili kumshinda Ina depends na power yake na kama hatokei katika chimbuko la ukoo it's easy to defeat him / her kinyumr na hapo utaula wa chuyaKipi kinadhihirisha kuwa hakuna majini wa kawaida na kwamba wote ni changamoto?
Nauliza hivyo kwa kuangalia kwenye tiba za matatizo ya majini huwa kuna utofauti wa ku deal na hao majini.
Kwahiyo unataka kusema viongozi wakuu w dini wana elimu kubwa ya kuhusu hawa majini?Society Ya hizo dini
But viongozi wakuu wote wanajua huo ukweli