Historia ya Lucifer

Kazi nzuri mkuu, nimekupata barabara!
 


Hii habari alikuambia Lucifer au mwenzetu na wewe ni mmoja wao hao Lucifer ??
 

Duh! Ko majini ndiyo hawa tunaowaita ALIENS? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu una roho ngumu! 🀣
🀣
Hapo hakuna uroho ngumu, hata kama hao Luciferians wanapata faida kutokana na 'nyeto' au kufanya mapenzi lakini na wewe unapata 'Maslahi' yako, wao wanapata chao kutoka kwenye shahawa na wewe mwenye shahawa unapata chako. Kumbuka lengo la kwanza la maisha ni kupata furaha haijalishi ni ya muda mfupi au la.
 
Duh! Ko majini ndiyo hawa tunaowaita ALIENS? πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio Ndio wale ni Aina ya Alien waliotimuliwa kwenye sayari zao hapo kale wakaja duniani na kujenga underground tunnels hua wanaishi Huko Kwa kujificha Kama umewahi sikia visa vya miji ya kustaajabisha iliyopo chini ya baharini Ndio hao Sasa viumbe,wao hawana ubaya na watu na hua Kuna Muda wanajichanganya na raia wa kawaida tu ila Ndio kizazi Chao kina survive hivyo hivyo!
 
Hiki ulichokisema hapa ni FACT na nusu mkuu, kwani mtu ukitaja mbinguni ndiyo kwamba ume-refer kutoka kwenye dini? Hapana!
 
Duh! Nimekupata sana mkuu!
 
Uzuri ni kwamba, mtoa mada alishatoa tahadhari mapemaaa. Vichwa panz wanahaha vibaya mno
 
Naona tu ukoo unajirudia rudia.. sijaelewa
Jamaa anakusanya nadharia mbalimbali na kudokoa dokoa anachotaka ndio maana utaona unarudi nyuma mara mbele na contradictions humo humo, na ndio maana hasemi ni wapi anapotoa hizi story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…