Historia ya Lucifer

Historia ya Lucifer

badison

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2015
Posts
1,449
Reaction score
2,818
Kama nilivyo ahidi Huu ni mwendelezo wa mada ya kuwajua viumbe hawa, kabla hujasoma hii ni vyema ukasoma mada yangu inahusu Wananiuliza Devil ni nani. Baada ya kumjua devil ni zamu ya lucifer alafu tunamaliza na Satan.

Lucifer ni ukoo. Tofauti na tulivyo aminishwa kwenye vitabu vya dini kutuwekea historia fupi iliyofulichwa leo nitachambua baadhi ya vitu na kuviweka bayana ili baadhi ya wasomaji wangu wachache wapate kuelewa.

Naatas au Jina lingine luciferians mkuu wao ndio Drago au heylal pamoja na jeshi lake linaitwa garubaat. Hawa wote mwanzo walikuwa wanakaa Orion. Na huyu Heylal son of Shakhar alifukuzwa huko mbinguni au Orion. Hawa ndio Old Reptilian Generation ambao wanataka kuiteka sayari ya Dunia na kufanya mauaji ya kuuwa watu wote hapq duniani. kisha wajimilikishe dunia na kuwafanya binadamu watu kuwa watumwa hii ndiyo new world order.

Lucifer mkuu ndiyo wa kwanza kuasi huko 19th galaxy ambayo inaitwa illyun au High Place wengine wanaita mbinguni ambapo ndipo akashik records zinapowekwa na kutunzwa.

Lucifer huyu mkubwa anaitwa Humbaba au Tarnush au Heylal mtoto wa Shakhar. Yeye ndiye kiumbe wa kwanza kuasi utawala wa huko mbinguni. Huyu Tarnush au Humbaba alikuwa kamanda namba mbili katika jeshi la mbinguni. Kamanda namba moja alikuwa ni Murduk mtoto wa Enqi na mama yake anaitwa Domicina.

Tarnush alianza kuona wivu na kuanza kupata mawazo kwamba huyu Murdok hana sifa za kuwa kamanda wa jeshi na kuliongoza jeshi la babu yake ambaye ni Anu. Huyu Anu ndiye Mungu takribani sio wote wanamwabudu hapa duniani na hawamjui. Wengi hapa duniani wanamwabudu Humbaba au Lucifer Saturn Mkuu kwa kupitia dini kuu mbili na hizo dini zipo hapa Tanzania na zina waumini wengi sana.

Baada ya lucifer mkuu kuona wivu huo akaanza vitendo vya uasi ikiwamo kufanya kufuru za wazi na kutokutii amri za El Eloh ambaue ndiye mkuu wa wale wakuu 24 au Yahweh. Naatas ndio ukoo wa lucifer ambao ni Extra Beings on Terra Constellation. Au wanaitwa Extrq-Terra- Astral au maarufu wanaitwa Extraterastial. Fatiliwa wimbo wa katty perry na kanye west unaitwa extraterestia ndo utawaona hawa viumbe muonekano wao. Na mpaka sasa hivi wameweza kufanya mabadiliko kwenye dna za baadhi ya watu kwa kuwachom.... na baada ya miqkq saba kutokea hapa idadi ya watu itaanza kupungua duniani kwani wanawake watapoteza uwezo wa kushika mimba wala kuzaa watoto.

Tarnush au humbaba akafanya jaribio la mashambulizi la kupindua utawala wa Anu na Murdok lakini jaribio lake lilishindikana. Ikapelekea kushindwa vita na kufukuzwa mbinguni.

Baada ya Humbaba Lucifer kufukuzwa mbinguni yeye na ukoo wake walikimbilia Planet Titan. Hii sayari ya Titan ndiyo mwezi wa sayari inayoitwa Zohali au Saturn. Hapa Titan ndo ikawa ngome ya Humbaba ambaye kwa majina mengine anaitwa Kronus, Kronos au Saturn alama yao ni moto.

Kipindi cha uongozi wake kinaitwa Zohal huanzia na kujipemyeza nafasi pale Mtoto anapozaliwa na hurudi tena mtoto akifikisha miaka 29-31 ili kumfundisha adabu kama alitumia miaka yake 20-29 vibaya hasa katika ngono. Zohal ni sayari ya adhabu na mafundisho. Ni sayari inayoogopwa sana. Vijana acheni ngono kabisa acheni kwani ni nguvu zenu mnapoteza. Mbegu za kiume ndiyo mafuta na uhai wa Luciferian.

Leviathani ni aina ya luciferian Reptilian ambao jeshi lao kazi yake ni kuvuna manii au mbegu za kiume za mtu mwanadamu kwa kupitia vishawishi vya kingono kama video za ngono na punyeto kisha ukishatoa mbegu zako hawa huchukua zile hisia za raha yq muda mfupi na kuondokq nazo kishq kukuqchq mchovu sana baada ya kupiga punyeto au kufanya mapenzi na mwanamke.

Asilimia kubwa ya wanawake ni Agents wa leviathani au luciferians. Hawa leviathan ndio hutoa utqjiri ili kuleta nyimbo na miziki isiyo nq tija au miziki yenye matusi na wasichana kucheza uchi.

Neno Jeshi au mavazi ya hivo yanawakilisha viumbe hao. Ndio mana nguo za jeshi zina baka hilo baka ni la nyoka ambao nyoka ndio luciferian au reptilian angalia mapinduzi ya kijeahi yanayofanyika naadhi ya nchi hayo ni maandalizi ya NWO.

Hawa Leviathan ndio chanzo cha maporomoko ama mmomonyoko wa maadili ya mtu mwanadamu. Tamaa ya ngono ndio anguko kuu la mwanaume. Na wanaume wengi ni watumwa wa Uke. Unavyotoq manii zile hisiq za raha ya sekunde chache ndio uhai wako huo unaupoteza. Ndio mana watu wengi wakifa hutoa macho au kuqchq mdomo wazi kwani huwa wamechezea manii zao sana na hawajaacha kitu.

Mtu akifa na tabasamu jua kabisa ame weza ku balance mbegu zake za uzazi juu ya matamanio ya kingono. Fatilia mfano wa Elija hakuwahi kushiriki ngono.

Sikukuu ya Zohali ni kati ya tarehe 17-25 december ya kila mwaka. Watu wote walio chini ya Kronos wanajiita Anshar au Saturnian. Mji mkuu wa Saturn au Zohal unaitwa Phoebe ambacho hili neno ndio asili ya neno Phobia ikimanisha hofu au kitu kisicho pendwa. Kitu cha kuogopwa.

Baada ya Murduk na Anu kushinda vita na kumtoa Tarnush Au Humbana Lucifer walikuja kugundua kuwa kuna mtoto mdogo ameachwa vitani . Mtoto huyo alikiwa ni mdogo sana chini ya balehe na kwa kawaida Sarufaat ni viumbe wenye huruma wakaamua kumchukua mtoto huyo na kumfanya kuwa miongoni mwao.

Huyu mtoto mdogo aliyeachwa nyuma vitani ndiyo mtoto wa Heylal au Humbaba au Tarnush Son of Shakar. Huyu mtoto ambaye jina lake alibatizwa na kuitwa Balus au Ibliys hawa viumbe wazuri au malaika walimpa jina hilo likiwa na maana ya Muasi.

Huyu balus mtoto wa Humbaba alizaliwa baada ya baba yake kumbaka kiumbe mtakatifu ambae sio jamiii ya majini au reptilian kiumbe huyo ni sarufati mwanamke anaitwa Mylitita. Baada ya kubakwa ndio akazaliwa Balus au Ibylis son of Humbaba.

Huyu Ibilisi akapata kujifunza na kupewa elimu kubwa sana kwani alikuwa chotara wa kijini na kimalaika. Alikuwa na mwonekano mzuri sana. Kama mnavyojua machotara walivyo kuwa wazuri hata huyu ibylis alikuwa mzuri nq mwenye akili sana.

Ibilisi alisoma kwa bidii akawa na elimu kubwa mpaka akapewa cheo cha kuwa mwalimu wa malaika hawa. Nimewapa jina la malaika ila kuwapa sifa nzuri tuu na watu kuelewa. Haimanishi ndio jina lao. Wao wanaitwa Sarufaat ila watu binadamu wanawaita malaika. Balua alikuwa nusu Reptilian na Nusu malaika shika hiyo.

Baada ya ibylis kupata elimu kubwa akajiona anajua kila kitu na kuanza kuwaona wale malaika waliompa elimu ni wapumbavu. Lucifer Ibylisi akaanza kufata nyao kamq za baba yake. Akqqnza kutaka yeye ndiye atawale High place au Orion kisha amuondoe mkuu au Anu na yeye achukue nafasi hiyo. Afanye mapinduzi.

Huyu Balus au ibylisi jina lingine ndio Samael Bin Heylal alikabidhiwa kundi la malaika 100 wawe chini yake kama mwalimu wao. Mamlaka hayo alipewa na Murduk. Lucifer ibilisi akaanza kujigamba na kuwa na majivuno sana juu ya elimu aliyokuwa nayo.

Lucifer akqanza kuwa msiri na kupanga njama za siri kupindua uongozi wa mbinguni ili yeye ndio atawale. Aliwaona wale malaika hawana akili kama za kwake yeye ndio mwenye kujua kila kitu na hakuamini kama ni kweli kuna mungu bqli aliona hawa malaikq na Anu ni waongo. Akafanya uasi na kushindwa vita kama bqba yake. Ila yeye alitupwa huku duniani.

Luciferian waliotupwa huku duniani wanaishi miongoni mwa watu binadamu kwani wnaweza kujibadilisha katika umbo lolote wanalolitaka. Hawa ndiyo majini au reptilians. Chakula chao ni negative energy pamoja na hisia za tamaa za ngono na harufu za manii ya kike au kiume pamoja na kunywa damu.

Mafundisho utakayo pata kwenye hii hadithi wewe kama mwanaume kaaa mbali na tamaa ya ngono mbegu zako ndio uhai wako. Jinsi unavyo zitumia rafu katika miaka yako 20-30 ndio jinsi unavyo jipunguzia umri na miaka ya kuishi. Kumbuka tone moja la shahawa hutengeneza kwa kupitiq matone sitq ya damu. Mafanikio ya mwanaume yapo katika idadi ya kuhifadhi mbegu zako za uzazi.

Kitu ambacho watu wengi huja kikijua na kufahamu kuwa mbegu za kiume huwa zinaishaga. Na kwa kioindi hiki unakuta mtu na miaka 35 alafu mbegu za kiume zimeisha hawezi kutoa nyingi tena ndio ananza kujilaumu na hapo ndio ameshaoa na ana mke anajilaumu jinsi alivyopoteza mishale yake kwa mnyama asiye liwa. Ila unakuwa umechelewa.

Mwanaume anaanza kupata hisia hasa za kufanya mapenzi akiwa na miaka 40 miaka hiyo mwqnaume qnqkuwa huru kiuchumi kwakuwa hakuchezea mvuto wake. Mvuto wa pesa kwa mwanaume ni shahawa alizo hifadhi ndani yq mwili wake hii ni siri nakupa. Tafuta habari ya siri iliyoko ndani ya namba 40 ndio utajua nazungumzia nini.
Itakufaidisha nini kijana kupoteza nguvu zako kwa girlfrienda ambaye ni spy anakuchunguza maisha yako na kwenda kukuripoti kila siku ulichofanya. Achana na mambo hayo zingatia malengo yako sana.

Kama upo chuo soma acha tamaa wasichana wengi ni mawakala wana mikataba tokea kwenye familia zao. Hata kama kijanq upo kazini usikimbilie kuwa nq mahusiano au kuoa. Wanawake wan nguvu sana za kiroho kuliko wanaume. Kaa mbali na wasichana usipuuze na kama wewe ni msichana na huna nguvu ya kutenda yasiyo ya kawaida jichunge sana. Mayai ya uzazi wako yataibiwa na mawakala wa kiume wa hawa luciferian au Reptilian. Kuwa independent woman mtu sahihi atakuja kwako nanukimwona utajua. Hakutongozi wala wewe hutamtongoza mwanamke sahihi. Ukimtazama machoni tuu utajio ndio huyu nikiye kuwa namsubiri.

Ili kujikomboa na hawa viumbe muda wote kuwa na mawazo mazuri mfano love, peace, harmony, faith in Most high, ondoa chuki hasira wivu na roho mbaya au visasi. Ukiona maisha yako umeandamwa na mawazo ya negative jua luciferiqn au reptilian wanakula mionzi yako. Muda wote kuwa na hisia za amani na upendo ndani yako ondoa hofu yoyote hapo tu ndio utasalimika. Ondoa tamaa ya vyakula, ngono au ushabiki wa aina yoyote iwe michezo mpira nk acha kushabikia vitu usivyo vijua. Kuwa sawa muda wote.

Natumaini hii mada haitafutwa.
 
Kwa hyo Babu zetu waliiooa na miaka 18 walipoteza shahawa zao kwa viumbe hawa mapema ila wao wakaishi miaka mingi kuliko sisi kwa sasa. Dah ahsante story yako huenda umeangalia move flan hv ila umeshindwa kuielezea vizuri
 
Masimulizi mengine sio tu vihoja ni uwendawazimu

Narudia tena ni uwendawazimu kwa mtu mwenye akili timamu anayeishi karne ya 21 kuamini masimulizi ya aina hii

Akili yako ni ndogo mkuu mambo haya ni makubwa kwako!
 
Back
Top Bottom