kisesengule
Member
- Feb 28, 2012
- 46
- 0
kilakitu kinawezekana
kasome vitabu vya Mohamed said. vipo madukani
Nitapata wapi kitabu cha ukweli na chenye historia ya ukweli ya Tanzania na sii historia ya uongo na kinafiki ? Kuhusu Tanzania kabla na baada ya uhuru,ikijumuisha viongozi wake mafanikio yao na maendeleo ya Taifa kiujumla?nipo tayari kukinunua kwa bei yoyote.
Mbona wewe unatoa vitabu vya mwelekeo wa Waislamu peke yao? Mbona hujataja kitabu cha John Illife na Judith Listowell?Anzia kwa kufata link hizo chini, humo utapa reference nyingi sana:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wananchi-miaka-50-ya-uhuru-wa-tanganyika.html
https://www.jamiiforums.com/great-t...livyoingia-mikoa-ya-kusini-ya-tanganyika.html
https://www.jamiiforums.com/jamii-i...-nyakati-za-abdulwahid-sykes-1924-1968-a.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/171128-christian-hegemony-and-the-rise-of-muslim-militancy-in-tanzania.html
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-1910-2012-shujaa-wa-uhuru-wa-tanganyika.html
Mbona wewe unatoa vitabu vya mwelekeo wa Waislamu peke yao? Mbona hujataja kitabu cha John Illife na Judith Listowell?
Ombi zuri ingekuwa vitabu au maandiko ya historia ya Tanzania. ku qualify ya ukweli au uongo hilo hakuna anayeweza kukujibu bali wewe kama mtafiti utachambua au utafanya utafiti wako na if you can, kuandika au kufadhili uandikaji wa kitabu cha masuala ya historia ya TZ na qualifications unazotaka. Kutegemeana na lengo na walengwa, hata format utasimamia wewe. maendeleo, viongozi n.k. maandishi hayo yamejaa nenda kwenye ma library utakuta ingawa kutofautiana kutakuwepo kati ya waandishi kutegemeana na agenda and context.Nitapata wapi kitabu cha ukweli na chenye historia ya ukweli ya Tanzania na sii historia ya uongo na kinafiki ? Kuhusu Tanzania kabla na baada ya uhuru,ikijumuisha viongozi wake mafanikio yao na maendeleo ya Taifa kiujumla?nipo tayari kukinunua kwa bei yoyote.
Mbona wewe unatoa vitabu vya mwelekeo wa Waislamu peke yao? Mbona hujataja kitabu cha John Illife na Judith Listowell?