Historia ya Aziz Ali

Mtoni mtogani kwa Azizi Ally kumbe kuna Historia mzuri lakn TV na RADIO zetu huwezi kukuta wameandaa documentary ili vizazi na vizazi vifaidike.Make watoto wanaokua sa hv wanamuona DIAMOND NA ZARI Kama wapigania UHURU
Maneno yako ni mazuri sana! Na inafaa sana yakafanyiwa kazi. Sijui hawa waandishi habari wa Tanzania wanafanya kazi gani! Yaani wamejawa na upuuzi upuuzi na umbea tu.
 
Je,hujui kitu gani hicho ndo muhimu!
Hata 'mitume' hawajui...mudi alikuwa hajui kusoma,mudi alikuw hajui kila kitu ndo maana alipigwa akang'olewa meno akafa kibogoyo.
Sio vibay mtu kusem hajui na kusem hujui ni moja ya elimu hakun anayejib kil kitu zaid ya mitume
 
Wewe leta basi historia za hao wengine
Sina haja ya kuleta maana ndiyo hiyo uliyofundishwa darasani ya akina Julius Nyerere na akina Oscar Kambona, sio hizi za akina Aziz Ali ambazo hazipo kwenye mtaala wowote
 
Lukubuzo...
Adabu ni kitu cha bure.
Unaweza ukaeleza hayo yote kwa lugha ya kistaarabu na uungwana.

Ningependa sana kujua nini kimekughadhibisha kiasi umekuja na shari.
Ha wa kwa kimombo huwa tunawaita haters yaani wanakuchukia hata bila sababu yoyte
 
Sina haja ya kuleta maana ndiyo hiyo uliyofundishwa darasani ya akina Julius Nyerere na akina Oscar Kambona, sio hizi za akina Aziz Ali ambazo hazipo kwenye mtaala wowote
hahahah,unategemea historia ya kwenye mtaala?.pole yako mkuu,endelea ivoivo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom