Historia/shujaa: Josina Machel

Historia/shujaa: Josina Machel

Aliyekuwa na mke mzungu ni Eduardo mondlane, huyu Filipe Samuel Magaia alikuwa ni mkuu wa idara ya usalama ndani ya Fre limo, baada ya Felipe kuuliwa na mtu mmoja wa kuitwa Lourenço idara hii ikawa inaongozwa na Ma chel
Nalog off
OKEY ... mwanzo hukumtaja jina... nisingeweza otea kama ni Flipe Magaia. Nikaenda direct kwa Mondlane coz ndiye aliyeuawa
 
da kamdada kamenitoa machozi kabisaaa!! striker hatari!! pamoja na kukamatwa kakatoroka tena!! hakakujua km katakutana na jemadari samora sasa huyu mtoto yuko wapi samora Jr!! south! kwa mama au wapi ako mleta mada tiririka bana!!

SErikali inamsaidiaje huyo mpaka sasa nataka fanya kitu hapo au na yeye alivuta na babaake siku ile kwa ndege?........
 
Josina alifuata nyayo za Tamara Bunke (Tania the Guerilla) mwanamapinduzi na mwambata wa Che Guevara na Selia Sanches, mwanamapinduzi na mwambata wa Fidel Castro
1781513219047.png
1781513316468.png

kushoto ni Tamara na huyu kulia ni Selia Sanches
Hasta la Victoria Siempre
 
Back
Top Bottom