Historia fupi ya marehemu UKAWA

Historia fupi ya marehemu UKAWA

Atakaa kaburini siku tatu tu halafu, hamad! Amefufuka! He! Yu hai. Ndipo waliokuwa wanashangilia msiba watakapotafuta mahali pa kujificha kwa aibu!
Toka kwenye ubongo njoo duniani bata we.
 
Kwa kweli hata mimi sijasoma lote, nikala kona. Sijaona mantiki wala hoja zaidi ya mipasho na kujifurahisha kwa mwandishi wake kwa kupoteza muda wake kwa andiko lefu lisilo na hoja. Labda mwandishi alikunywa sana, alipolewa ndipo akaanza kutiririka.

Vv

Kawaida yenu mamluki nyie hata kusoma hamuwezi. Sijui hata umejuaje kuandika
 
Kwani wewe sio Mwanachi?kwa hiyo unafurahi maoni yako kuzikwa?hakika Happiness hujitambui unahitaji maombi
Maoni yetu watanzania wazalendo wapenda haki wapenda amani, hajazikwa na kamwe hayatazikwa. Ila UKAWA ndo wamezikwa na upumbavu wao.
 
Hata kama kaandika upumbavu au ukweli.Lakini hili shankupe halifai kabisa kuwa journalist linaendeshwa sana na hisia tangu alivyokuwa Tanzania daima.Njaa inamsumbua .
Ulizani anaendeshwa na petroli.
 
arobaini ya UKAWA kufanyika dodoma very soon
 
UKAWA ni zaidi ya UMOJA baina ya vyama husika. Kwa mapana ya fikra, ndani ya UKAWA ipo SPIRIT ya kupinga, kupambana na USHENZI wa demokrasia ya chama kimoja, li-CCM! Sasa niambie if a SPIRIT can be annihilated na hapo utambue kwamba wanaobeza UKAWA ni wale wale waliovimbiwa na ....
 
Bila shaka lolote Katabazi ni mtoto wa mafisadi MaCCM, ni uzao wa nyoka kina Chenge na wenzake walioficha fedha walizoiba ulaya!!
Sasa wanatengeneza katiba ya kuwalinda, UKAWA ni bomu itawalipua, subiri uone!!
 
Bila shaka lolote Katabazi ni mtoto wa mafisadi MaCCM, ni uzao wa nyoka kina Chenge na wenzake walioficha fedha walizoiba ulaya!!
Sasa wanatengeneza katiba ya kuwalinda, UKAWA ni bomu itawalipua, subiri uone!!

Mh, huyu mtt wa hali yachini sanaaa
 
Maneno mengi lakini pumba tupu,naona kaamua kuwafurahisha mabwana zake wa lumumba angalau mkono uende kinywani.njaa mbaya sana!
 
Matatizo kwa wanyonge yanazidi kukua,na mawakala wa kuimarisha Ukoloni mweusi wanapokuwa wale wa kuwatoa banzi machoni watanzania basi hali inakuwa ya kutisha,na matumaini yanakuwa madogo.

Ebu tupitie makala hii ambayo kwa namna moja haina tofauti sana na hiyo.


Ingawa maeneo kadhaa kulikuwa na Ushauri mzuri.



JK mweledi pekee mchakato wa Katiba


Kwa hiyo hapa tunamuona Rais Kikwete kama mtu aliyejitoa mhanga na kujivalisha ujasiri kwa kufanya jambo ambalo halipo katika chama chake na ambalo haliungwi mkono na wanasiasa wenzake katika chama na serikali.


Rais Kikwete anaelekea kuibuka shujaa tena kwa kuacha suala la kura ya maoni likielea. Utabiri wangu ni kuwa katika kipindi cha sasa na Bunge kukaa Novemba, CCM watafanya tafakuri kuangalia mazingira mazuri zaidi kwao ya kupitisha Katiba kupitia kura za wananchi.
Wanasiasa wetu wangekuwa na nia njema na dhamira ya kweli wangerekebisha sheria ya mabadiliko ya Katiba ili kuruhusu mambo mawili.


Mosi, kuruhusu kura ya maoni ifanyike baada ya uchaguzi mkuu tukitarajia kwamba katika kipindi hiki tutapata nafasi ya kutibu majeraha ya kisiasa yaliyojitokeza.

Pili, kuruhusu kuundwa kwa tume ya kitaalamu itakayohusisha wajumbe kutoka ndani na nje ya nchi. Kazi ya tume hii ingekuwa ni ‘kusafisha’ Katiba inayopendekezwa kwa kupitia kwa makini hoja zilizojitokeza kwenye Rasimu na ambazo zimetupwa na zile zilizojitokeza katika Bunge Maalumu la Katiba.


Tume hii pia ingeweza kukaa na wanasiasa wa pande mbili zinazosigana ili kuwasuluhisha na kufikia mwafaka katika mambo ya msingi bila kuvuruga mchakato.
 
Back
Top Bottom