Historia fupi ya marehemu UKAWA

Historia fupi ya marehemu UKAWA

R.I.P ukawa ImageUploadedByJamiiForums1412613389.186571.jpg
 
Happiness alikua hana jinsi zaidi ya kuinama na kusujudia mafisadi. Maji yalifika shingoni, being the only one unayetegemewa na familia, ndani ya nyumba ya kupanga, hujui kodi unapata wapi, mshahara wenyewe kipedo, mama, kaka na every one wanakuangalia wewe.
More by then elimu ni ya kuunga unga, yaani gundi kibao. It was too much kwa mtoto wa kike, kazi ikawa nyepesi sana kwa Salva kumshawishi, ukuchujulia ni wa kule kule kwetu.
What would you do?

Aisee, tuishie hapo bado fanya research ya kumfaham huyu mtu, anackitisga sana
 
Huyu mschana ni HAPPY KATABAZI yule nilekuwa nasoma makala zake kwenye tz daima,,,! km nikweli basi usemi wa ADUI yako ucmpige panga muombee NJAA unaleta maana sna khaa,,,,!
 
Watu na tabia zao; watavaa ngozi ya kondoo lakini ni mbwa-mwitu hatari kwa uhai wa taifa la Tanzania!
 
Msameheni jamani hajui atendalo.
 
Laiti ungejua hiyo picha in ahusu nini? ungefahamu kuweka kwenye maandishi ya huyu mpuuzi unaitakia laana nchi hii, kumbe mabaya yanayoendelea ktk nchi ww ni mmoja wapo uliyesababisha Mungu kutupa mapigo haya ya umaskini wakati nchi ni tajiri ila tunaombaomba sababu ya wapuuzi kama ninyi.

Kwa hiyo umefurahia sana huo umaiti uliomkuta mwenzetu kwa EVD. Endelea kushangilia msiba kwa jirani, kesho yakifika kwako pandika picha za mwanao hapa uone inavyouma. Nakufahamisha Marburg iko Uganda, kesho ukisikia iko Tanzania usilalamike kwa hizi laana zako, kwa kifupi umenikera kutumia maiti kufanya mzaha
y
 
Huyu Katabazi ndio ile jamii ya waandishi wa habari ambao Muheshimiwa Samweli Sita AKA Chura alisema hatawapongeza waandishi wa habari kama hawa wanaoandika kwakutumia kalamu zenye wino wa TINDIKALI!
 
Hata kama kaandika upumbavu au ukweli.Lakini hili shankupe halifai kabisa kuwa journalist linaendeshwa sana na hisia tangu alivyokuwa Tanzania daima.Njaa inamsumbua .
 
Pumba za nguruwe. Kama kichwa hakiwezi kufikiria maslahi ya watanzania si ukae kimya? --------- ngapi kuandika pumba hizi hapa? Tuna uchungu na nchi yetu inatafunwa na nyie wachache mafisadi.
 
Kwani wewe sio Mwanachi?kwa hiyo unafurahi maoni yako kuzikwa?hakika Happiness hujitambui unahitaji maombi
 
hivi kuna wapuuzi wanakaa muda mrefu hivi kuandika pumba
kusoma sijaisoma yote

Kwa kweli hata mimi sijasoma lote, nikala kona. Sijaona mantiki wala hoja zaidi ya mipasho na kujifurahisha kwa mwandishi wake kwa kupoteza muda wake kwa andiko lefu lisilo na hoja. Labda mwandishi alikunywa sana, alipolewa ndipo akaanza kutiririka.

Vv
 
Hawa wana siasa wanatuchanganya tu hapa;
Usishangae ukiambiwa walikubaliana watoke nje ya ukumbi ili mambo yapite kilaini;
Atakaa kaburini siku tatu tu halafu, hamad! Amefufuka! He! Yu hai. Ndipo waliokuwa wanashangilia msiba watakapotafuta mahali pa kujificha kwa aibu!
 
".... Mama mama mamaaa.... Mfalme hajavaa nguo..."
 
Back
Top Bottom