Historia fupi ya marehemu UKAWA

Historia fupi ya marehemu UKAWA

Napita nikifika narudi.....watu hawa Kagame anawaita Inyenzi
 
Sikujua kuwa huyu mdada anaweza na akili kinyesi namna hii.
 
Hawa wana siasa wanatuchanganya tu hapa;
Usishangae ukiambiwa walikubaliana watoke nje ya ukumbi ili mambo yapite kilaini;

kama unahisi kuchanganywa na wanasiasa si MNA majukwaa yenu ya mapenzi mmewekewa?! umefuata nini jukwaa la siasa?
 
Huyu mschana ni HAPPY KATABAZI yule nilekuwa nasoma makala zake kwenye tz daima,,,! km nikweli basi usemi wa ADUI yako ucmpige panga muombee NJAA unaleta maana sna khaa,,,,!

1. Haiwezekani akawa Happy Katabazi huyo unayemsema. Hawezi akawa yule aliyetoa waraka mrefu akiomboleleza kifo cha marehemu Dr. Mvungi (ambaye yeye binafsi) katika moja ya andiko lake alimtambulisha kama mumewe-I don't know how? katika makala hiyo, aliuandikia umma wa Watanzania na dunia kuhusu namna alivyokuwa karibu na marehemu Dr. Mvungi na jinsi alivyoifahamu dhamira ya marehemu katika upatikanaji wa katiba mpya, katiba itokanayo na maoni ya wananchi. Na kwamba, aliamini kuwa marehemu aliifia katiba mpya. Kweli? Kwa hili, umemdhalilisha na kumfedhehesha marehemu Dr. Mvungi na siyo UKAWA!
2. Kama muandishi wa habari, hapakuwa na sababu ya kuandika mipasho, so what? napata picha kuwa hata makala zako ulizokuwa unaandikia Tanzania Daima, ulikuwa unampa MHARIRI kazi kubwa sana ya kuhariri lugha mbovu na mihemko ya kiitikati, should you have a dream to move a little bit further katika career yako ya uandishi, you need to be professional
3. Why mixed-up things, mara imani za dini ya kanisa lako, mashetani, uchochezi, siasa chafu na chuki binafsi? Be objective in writing, balance the story, critique were applicable, suggest the way forward and be focused. Kama hivi ndivyo waandishi wa habari mnafundishwa kuandika makala basi nchi hii ina MSIBA mkubwa-ni aibu!
4. Next time, ujitahidi kuitendea haki kalamu yako, to be sincere UMEIDHALILISHA!!!
5. I submit that this article is totally without merit. I therefore pray for its total dismissal, ningelikuwa mahakamani ningemalizia, "with costs"

******
Dr. Love/ Your Parter in Critical and Objective Thinking
 
Its beyond ridiculousness.

Dont you feel ashamed of yourslf to stand here and playing this POLITICAL PONOGRAPHY and insulting walalahoi wa nchi hii??

Mna laana nyinyi.

I am telling you guys hii katiba itawatokea puani.

Subirini muone.

how??????
 
Anapoteza nguvu nyingi yeye anaAhisi ...anaihujumu Ukawa kumbe anapambana na jamii nzima ..lazima tuanze na wewe na kama haitoshi ni lazima nikufate hata Bk nikuharibie ..unahongwa vijibwana vyako unahisi tayari uko peponi nyau mkubwa wdwe
 
Katabazi , yule mtoto wa nani hii aliyekuwa waziri umeshampelekea baba yake ? Na yule mwingine wa yule Hakimu sijui Jaji vipi?

umenifungua akil mana nilidhan ni mtu makin kaandika kumbe ni chakula cha wakubwa
 
Duh!
Halafu waandishi wa habari wakitoka Tz Daima, wanahamia New Habari; kulikoni? List ni ndefu. Wakishahamia huko, wanaanza kuponda upinzani; na hasa CDM.
 
Tuliambiwa subirini muone theluthi mbili hazita patikana,leo tuna ambiwa tusubiri tuone katiba itakavyo watokea puani,tutasubiri kuona mpaka lini?
Its beyond ridiculousness.

Dont you feel ashamed of yourslf to stand here and playing this POLITICAL PONOGRAPHY and insulting walalahoi wa nchi hii??

Mna laana nyinyi.

I am telling you guys hii katiba itawatokea puani.

Subirini muone.
 
Happy huyu huyu leo anaandika utumbo huu ndo maana makanjanja mnaonekana hamna maana na mtatumika sana kama soksi za kiume jitahidi fata mfano wa ndugu yako silva walivyomfanya katibu mstaafu wa umoja wa afrika kwa kumchafua ati anahusika na mauaji ya yule
 
Pole Katabazi.Hivi kwa akili yako unadhani katiba hiyo ya majambazi itapita?
Katiba unayoishabikia inasema hivi:
  • Hakuna ukomo wa ubunge
  • Kuweka fedha kwenye akaunti ya nje ruksa (mafisadi wote wana akaunti nje ya nchi wakiongozwa na Chenge)
  • Uadilifu, uwajibikaji, uwazi havifai kuwa tunu za taifa (mikataba ya siri ndiyo roho ya mafisadi)
  • Mawaziri lazima wawe wabunge (watawakilisha saa ngapi majimbo yao?)
  • Mbunge haruhusiwi kuwajibishwa na wananchi wake hata kama haonekani jimboni kwa muda mrefu.
  • Ubunge ni sifa ya kuwa spika (chama lazima kilindwe bungeni na mlinzi huyo ni spika) nk
Ninahisi wewe Katabazi una roho ya ufisadi mama.Kama Mungu yu upande wetu,ni nani aliye juu yetu? Wakati ukifika utakapoona yakitokea mambo usiyotarajia,nina wasiwasi BP itakuwahisha kuzimu.
Maandiko yako kwenye ukuta mama,kidole kinaandika mambo yasiyoeleweka.Kama Belshaza,ccm inajiona iko salama kumbe kifo kinagonga mlango.Nakushauri mama katabazi uanze kusoma katikati ya mstari.[/QUO

Kanuni za uongozi wa umma
29.-(1) Kiongozi wa umma, akiwa katika kazi za ofisi au kazi binafsi au wakati amejumuika na watu wengine, atahakikisha kwamba mwenendo wake:
(a) hauruhusu kutokea mgongano wa maslahi kati ya maslahi binafsi na maslahi ya utumishi wa umma;
(b) haushushi hadhi ya ofisi anayofanyia kazi; au
(c) hauruhusu matumizi ya ofisi ya umma kwa maslahi binafsi.
(2) Kwa madhumuni ya Katiba hii, Bunge litatunga sheria itakayoweka, pamoja na mambo mengine:
(a) tafsiri ya neno zawadi, aina, thamani, kiwango na uhifadhi wa zawadi ambayo kiongozi anapokea wakati akitekeleza majukumu yake;
(b) masharti ya kufungua akaunti za nje kwa kiongozi wa umma;
(c) masharti ya kumtaka kiongozi wa umma kutoa tamko la mali na thamani yake, madeni yake pamoja na ya mwenza wake wa ndoa na mtoto wake aliye chini ya umri wa miaka kumi na nane;
(d) masharti ya kuzuia kiongozi wa umma kutoshiriki kufanya uamuzi wa jambo au shughuli yoyote ambayo ana maslahi nayo yeye binafsi, mwenza wake wa ndoa, mtoto wake, jamaa au rafiki yake au mtu yeyote wa karibu;
(e) masharti ya matumizi ya mali ya umma;
(f) utaratibu wa utwaaji wa mali za kiongozi wa umma zinazopatikana kwa kukiuka sheria;
(g) utaratibu wa kumwajibisha kiongozi wa umma aliyekiuka maadili na miiko ya uongozi wa umma; na
(h) mambo yasiyotakiwa kwa watumishi wa umma.
(3) Wadhifa wa “kiongozi wa umma” kama ulivyotumika katika Sehemu hii utajumuisha kiongozi wa kuchaguliwa au kuteuliwa kama itakavyoainishwa kwenye sheria za nchi.
(4) Mamlaka ya Nchi itaweka utaratibu utakaowezesha kuanzishwa kwa mitaala inayohusu Katiba, maadili na uraia shuleni na vyuoni.
 
Jamani Ndugu. Mbona hasira sana wakati haya ni mambo ya ukweli au namna ya uwasilishaji ndo imekuwa tatizo. Je UKAWA hipo hai????
 
Pole Katabazi.Hivi kwa akili yako unadhani katiba hiyo ya majambazi itapita?
Katiba unayoishabikia inasema hivi:
  • Hakuna ukomo wa ubunge
  • Kuweka fedha kwenye akaunti ya nje ruksa (mafisadi wote wana akaunti nje ya nchi wakiongozwa na Chenge)
  • Uadilifu, uwajibikaji, uwazi havifai kuwa tunu za taifa (mikataba ya siri ndiyo roho ya mafisadi)
  • Mawaziri lazima wawe wabunge (watawakilisha saa ngapi majimbo yao?)
  • Mbunge haruhusiwi kuwajibishwa na wananchi wake hata kama haonekani jimboni kwa muda mrefu.
  • Ubunge ni sifa ya kuwa spika (chama lazima kilindwe bungeni na mlinzi huyo ni spika) nk
Ninahisi wewe Katabazi una roho ya ufisadi .

Hoya ndugu rudi kwenye maada na siyo kumfuata mtu . Je UKAWA ipo hai???
 
UKITAKA AKUANDIKIE HABARI YAKO UTAKAVYO MPE PESA TU! ndo zake
Duh Hilo silijui ila namba yake si niliweka kama ujaiona fuata kwenye blog yake utaiona na umuulize. Maada. Je, UKAWA ipo hai??? Mi naona imekufa.
 
Duh!
Halafu waandishi wa habari wakitoka Tz Daima, wanahamia New Habari; kulikoni? List ni ndefu. Wakishahamia huko, wanaanza kuponda upinzani; na hasa CDM.

Hilo silifahamu ila kama nikweli usichukulie kama kuponda ila ni kuonesha mitazamo yao katika hayo mambo. Je, UKAWA bado ipo hai??? Mi naona imekufa.
 
Anapoteza nguvu nyingi yeye anaAhisi ...anaihujumu Ukawa kumbe anapambana na jamii nzima ..lazima tuanze na wewe na kama haitoshi ni lazima nikufate hata Bk nikuharibie ..unahongwa vijibwana vyako unahisi tayari uko peponi nyau mkubwa wdwe
Acha kukurupuka na kusema jamii. Wewe unaweza kumharibia nani wakati wewe mwenyewe ni kibaraka wa UKAWA. ambaye ni marehemu sasa. Pole find a new master.
 
Back
Top Bottom