Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,588
- 7,287
insta babe tuachane na haya kwanza.... lini hivi utageukaWanaume wa dar watakushangaa sana mkuu
insta babe tuachane na haya kwanza.... lini hivi utageukaWanaume wa dar watakushangaa sana mkuu
you're missed too , hii ndyo ID yako ya zamani eeh?Nshakumiss mwenzio.. ID yangu ya zamani ni ipi?
Hahahainsta babe tuachane na haya kwanza.... lini hivi utageuka
Hivi kwa nn umetoa avatar ya mwanzoinsta babe tuachane na haya kwanza.... lini hivi utageuka
Hahaha
Insta babe naona mtekaji ameamia kwako
Sasa insta babe mbona mchokozi lakini nageukaje picha sio yangu nimeiokota nilipokutana nayo nimeipenda tu kuona aliyevaa ni shabiki mwenzangu wa man u
mtekaji anatuteka kwa zamu insta babe....
alafu unajua mimi hata darasan nilikuwaga sielewi yani nakrem sasa basi kwenye kukrem nipo vizuri sana
hiyo location nimeikrem ujue ndio ile ya avatar iliyopita![]()



Halafu ndio nimejua sasa hivi unavyoniambia kumbe location ni ile ya mwanzo huyu dada lakini kwa nn kapiga picha sehemu moja ningekuwa namjua ningemuuliza insta babealafu kumbe nimebadilisha avatar ...hii simu inakiherehere siunajua tekno nimeiweka mfukoni yenyewe imebadilisha hadi avatarHivi kwa nn umetoa avatar ya mwanzo
Hahahaalafu kumbe nimebadilisha avatar ...hii simu inakiherehere siunajua tekno nimeiweka mfukoni yenyewe imebadilisha hadi avatar
ipo siku ntakuta imeniweka sura yangu hapa![]()
😂😂😂😂😂 insta babe una bahati sana ya kuziokota picha za huyo mdada 😂😂Halafu ndio nimejua sasa hivi unavyoniambia kumbe location ni ile ya mwanzo huyu dada lakini kwa nn kapiga picha sehemu moja ningekuwa namjua ningemuuliza insta babe
alafu kweli upo smart sana insta babe... ukute nalaumu simu imenibadilishia avatar kumbe ni mtekaji... ngoja niwe makini sasa hivi 😂Hahaha
Au mtekaji kakubadilishia bila kujua
Hahahaa hii ni zaidi ya ngekewa insta babe ila nitamwambia siku moja ageuke tuinsta babe una bahati sana ya kuziokota picha za huyo mdada
maana hii ni ya tatu ujue
Hahahahalafu kweli upo smart sana insta babe... ukute nalaumu simu imenibadilishia avatar kumbe ni mtekaji... ngoja niwe makini sasa hivi![]()
Ha ha ha kweliUkiacha Kasumba, utakuwa fiti kama zamani
ntakuwa hapahapa nasubiria huyo dada akigeuka....kweli hyo ni zaidi ya ngekewaHahahaa hii ni zaidi ya ngekewa insta babe ila nitamwambia siku moja ageuke tu
insta babe baada ya mapambano makali na mtekaji nimefanikiwa kurudisha avatar yangu...ila sasa hivi inatakiwa niwe makini na huyu mtekaji asicheze tena na avatar yangu 😂Hahahah
Mtekaji sio mtu mzuri huyu kabisa kutubadilishia mpaka avatar
Hahahaha itakuwa anaogopa kugeuka na sura ya baba ake msije mkakimbiantakuwa hapahapa nasubiria huyo dada akigeuka....kweli hyo ni zaidi ya ngekewa
Hahahah uwe makini sana mtekaji atacheza mpaka na pm zako ukoinsta babe baada ya mapambano makali na mtekaji nimefanikiwa kurudisha avatar yangu...ila sasa hivi inatakiwa niwe makini na huyu mtekaji asicheze tena na avatar yangu![]()
hyo sura ya baba ipo wapi insta babe... sura nzuri hivyo ...Hahahaha itakuwa anaogopa kugeuka na sura ya baba ake msije mkakimbia
Bora avatar imerudi
😂😂😂😂😂😂 siku akiingia huku yeye ndio atageuka mtekwajiHahahah uwe makini sana mtekaji atacheza mpaka na pm zako uko