Hisia zimebadikika (naombeni ushauri)

Hisia zimebadikika (naombeni ushauri)

Mazoea ndo tatzo mkuu...! Ukipata mpya utapgaa hata 20..
 
Habari za asubuhi ndugu zangu

Mimi Ni kijana wa kiume. mwenye umri wa miaka 29. Nilikua na mahusiano na msichana flani kwa muda mrefu zaidi ya mwaka mmoja. Na hatimae nikaamua kufunga naye ndoa.

Lakini kitu Cha kushangaza , tangu nimefunga ndoa nimekua dhaifu katika suala la sex (viwili tu chali) wakati hapo kwenye mahusiano siku za nyuma nilikuwa naenda mpaka 4 au 5.

Ni Nini tatizo hapa ??

Nasubiri majibu/mapovu nk.
Mapenzi siku7 hizo zingne zinazofata ni uvumilivu2
 
Rekebisha "methodology" yako. Hata kimoja cha dakika 10-15 chenye concentration nzuri, kinatosha. Mara 4-5 ni kuchoshana tu, wala siyo sifa. Watoto wengi mnafikiri ukisema unafanya mara 7 basi wewe ni bingwa. Utoto tu huo. Kingine mkeo ni mkeo, siyo kama malaya wa nje unayefanya naye kwa wizi.

Habari za asubuhi ndugu zangu

Mimi Ni kijana wa kiume. mwenye umri wa miaka 29. Nilikua na mahusiano na msichana flani kwa muda mrefu zaidi ya mwaka mmoja. Na hatimae nikaamua kufunga naye ndoa.

Lakini kitu Cha kushangaza , tangu nimefunga ndoa nimekua dhaifu katika suala la sex (viwili tu chali) wakati hapo kwenye mahusiano siku za nyuma nilikuwa naenda mpaka 4 au 5.

Ni Nini tatizo hapa ??

Nasubiri majibu/mapovu nk.
 
Kama umeanza kuchepuka hiyo hali lazima ikutokee
 
Back
Top Bottom