Hisia zimebadikika (naombeni ushauri)

Hisia zimebadikika (naombeni ushauri)

Badilini location. Sio lazima kitandani chumbani. Sometime hata kwenye kiti sebleni, jikoni n.k

Or mnaweza kukutana far from mazingira ya home.
 
Mkuu jaribu kucheki mlo unao kula chakula kinahusika moja kwa moja na nyege mkuu .. ..pia kumbuka kumfeel mkeo.
 
Habari za asubuhi ndugu zangu

Mimi Ni kijana wa kiume. mwenye umri wa miaka 29. Nilikua na mahusiano na msichana flani kwa muda mrefu zaidi ya mwaka mmoja. Na hatimae nikaamua kufunga naye ndoa.

Lakini kitu Cha kushangaza , tangu nimefunga ndoa nimekua dhaifu katika suala la sex (viwili tu chali) wakati hapo kwenye mahusiano siku za nyuma nilikuwa naenda mpaka 4 au 5.

Ni Nini tatizo hapa ??

Nasubiri majibu/mapovu nk.
hivi ujana unaishia miaka mingapi..?
 
Viwili ualalama???hauko serious mkuu

Badilisheni style na muongeze vionjo vipya
 
Back
Top Bottom