Hisia zangu kwa marehemu!

Hisia zangu kwa marehemu!

hahaha, sasa mi ndo naogopa kukumeet.
Halafu majuzi tu kuna 'ntu' alikuwa ananiambia tunafahamiana. nikacheka sana, manake ole wakoooooooo!
nimeanza kukuogopa, too much coincidences za maoni.

Itabidi nikutafute.
 
Subutu, haiwezekani. I will die hard jamani.

Afu kuna mtu kwenye fonibuku yangu anampenda Maya Angelou, nlikuwa nampimia, nakuangalia na weweeee, nkagundua sio.

Nilishaitupa simu ukutani kwa woga.

hahaha, sasa mi ndo naogopa kukumeet.
Halafu majuzi tu kuna 'ntu' alikuwa ananiambia tunafahamiana. nikacheka sana, manake ole wakoooooooo!
 
Miez sita halaf .........we una lako

hihihihihiiiii,,,jamani tumuache mfiwa. Wakati mwingine wengine akiwemo mfiwa anafanya hivi katika harakati za kukimbia upweke. Ushauri aliopewa kuwa asubiri muda utaponya huzuni yake utamtosha. Vinginevyo atamaliza wakaka wote na hatapata faraja anayoitaka, kwani hatatokea anayefanana na marehemu.
 
pole sana endelea kuomba sana fanya ibaada sana mungu atapoteza mawazo yako ,maumivu yako na hisia kali juu yake,amini hilo utapona kwa jina lake kuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom