Mom Fay
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,059
- 316
Habar ya mida hii wana JF,
Matani na mzaamzaa tuweke pembeni, nipo serious kwa hili nalotaka kulisema hapa,najua jf ni familia yangu,dada zangu,kaka zangu,wakubwa na pia wadogo zangu!
Mwenzenu hisia zangu zinanitesa!!,nashindwa kumsahau aliekuwa kipenzi changu ambae kwasasa ni marehemu kwa takribani miezi 6 (nusu mwaka),bado kanikaa kichwani,.
Nashndwa kumsahau kabisa hata kama nipo na mwanaume mwingine, jana tu nimetoka kuongea na kaka flani hivi anachora tatoo mwilini, nataka nichore jina lake kiunoni mwangu, ila sina uhakika kama nipo sawa na uamuzi huo!!
Ningependa kuwatakia usiku mwema wapendwa wote!!.