Hisia za mapenzi zikifa unafanyaje?

Hisia za mapenzi zikifa unafanyaje?

Tatizo umeoa kwa kuangalia tabia sisi tulio oa kwa kuangalia sura na msambwanda mlitucheka.TABIA HAIWEZI KUKUDINDISHA ILA MSAMBWANDA NA SURA VINAWEZA
Ana mswamba hatari ila haunisisimui Kama zamani
 
Umemchoka kwasababu zako binafsi yaan huna mzuka naye???

Umemchoka kwa sababu za mkeo mwenyewe?????

Umeanza kuchepuka????. Ulipokosea toka mwanzo nikushindwa kufanya mahusiano yako yawe mapya kila siku.

Kabla hujamuacha, Kumbuka lazima mgawane mali , mambo ya kumfukuza kinyamela siku hizi tunayashikia bango maana huwez kaa na mtoto wa mtu, umemtombaa weee,umemtombaa weeeee alafu umrudishe kwao akiwa nanguo zake tu.
Hata sijui Kwanini zimekata
 
Tatizo umeoa kwa kuangalia tabia sisi tulio oa kwa kuangalia sura na msambwanda mlitucheka.TABIA HAIWEZI KUKUDINDISHA ILA MSAMBWANDA NA SURA VINAWEZA
Umeua mkuu
 
Pole sana mkuu..
Nenda nae vaccation hata Paris au Dubai mapenzi yatarudi tu!
 
Tatizo umeoa kwa kuangalia tabia sisi tulio oa kwa kuangalia sura na msambwanda mlitucheka.TABIA HAIWEZI KUKUDINDISHA ILA MSAMBWANDA NA SURA VINAWEZA
Dah nimecheka kwa sauti sana
 
Hata sijui Kwanini zimekata

Wengi hapa wanaongea nadharia zaidi ya uhalisia. Kiukweli hata mwanamke awe mzuri kama malaika, ukishaishi nae kwa muda fulani ndani, mnalala, mnaamka kila siku.. hua unaanza kumuona wa kawaida tu na hisia nae zinaisha, awe amezaa au hajazaa. Kama amezaa ndio hali inakua mbaya zaidi!

Ndio maana kuna wakati watu hua wanashangaa eti jamaa mbona mke wake mzuri lakini anachepuka na demu wa kawaida kabisa? Ni kwasababu huyo mzuri umeshamzoea na hakusisimui tena.

Ndio maana mimi siku zote nawaona ndugu zangu waislamu wapo sahihi sana kuruhusu mwanaume aoe hadi wake wanne. Hayo mengine ni kujipa moyo tuu sijui muende hotelini.. mtaenda hotelini mara ngapi? Kila wiki? Kumbuka hapa tunaongelea mfano mke wa ndoa ambae upo nae from january to december
 
Fanyeni mambo mengine..

ni swala La muda tu
 
Unayempenda muda wote ukimuona hisia zinaamaka upya
Kuna kitu kinaitwa kukinaii...!! Ukishamzoea sana mtu unamkinaii yani sawa na demu kabla ya kumpata unamuona mzurii ilaa ukishampataa sasaa
 
Nothing stays the same forever.

Asikudanganye mtu.

Cha kufanya usitangulize tamaa zako za kimwili... Look further.

Angalia wanao....utakapomuacha Mama yao familia itasambaratika. He upo tayari ku trade furaha, malezi mazuri ya wanao kisa huvutiwi tena na Mama Yao?

Na Mama Yao je, hasn't she been with you through everything that life has thrown at you? Leo hii unamuacha just because you are not sexually attracted to her?

Na huko utakapoenda, you think you will be attracted to them forever? So na yeye utamuacha?

Uanaume sio kudinda tu bro. Uanaume is standing up for your family. Keeping it intact. It is rising beyond your needs... Sasa get your act together. If she has gained weight and is no longer attractive, sign her up for gym class. If she looks unkempt give her a monthly allowance to take care of her personal needs. If she is tired all the time get her a househelp to assist her with her chores.

Get your act together man.
 
How to restart your love?
Hii njia inasaidia sana kurudisha hisia kwa mwenzi wako.
Ukiweza toka nae nje ya mji au tafuta Lodge mzuri sana tulivu yenye hadhi nenda na mkeo kwa mshutukiza,
Mtakula chakula cha hoteli iyo siku hatopika wote mtatengewa kila kitu adi kitanda mtatandikiwa na muhudumu wa hoteli mtalala mtaamka asubuhi mama hana presha za kuamka mapema kuanza kazi za nyumbani mtapata mda mwingi sana wa kuwa pamoja bila kitu chochote kuingilia kati hakika nakwambia ukifanya ivyo ndani ya siku 3 ni sawa umekaa nae masaa 74 bila kumkosa mkeo.
Kwa mda huo mtaongea mengi sana ya kurekebishana na mkeo atapumzika na uko kuwa na furaha mda wote dhamilia kubadilisha kitu kama kuna swiming pool jiachie na mkeo na vitu vingine vingi.
It works 90% New environment new place new feeling.
Mkuu kwa wake zetu hawa wa kiswahili ukimpeleka Hotel au gest unaibua Maswali tata atakwambia ndio uchafu wako unapo fanyia huku
 
Back
Top Bottom