gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,914
- 3,021
Nyauba...Tatizo umeoa kwa kuangalia tabia sisi tulio oa kwa kuangalia sura na msambwanda mlitucheka.TABIA HAIWEZI KUKUDINDISHA ILA MSAMBWANDA NA SURA VINAWEZA

@The chojiWengi hapa wanaongea nadharia zaidi ya uhalisia. Kiukweli hata mwanamke awe mzuri kama malaika, ukishaishi nae kwa muda fulani ndani, mnalala, mnaamka kila siku.. hua unaanza kumuona wa kawaida tu na hisia nae zinaisha, awe amezaa au hajazaa. Kama amezaa ndio hali inakua mbaya zaidi!
Ndio maana kuna wakati watu hua wanashangaa eti jamaa mbona mke wake mzuri lakini anachepuka na demu wa kawaida kabisa? Ni kwasababu huyo mzuri umeshamzoea na hakusisimui tena.
Ndio maana mimi siku zote nawaona ndugu zangu waislamu wapo sahihi sana kuruhusu mwanaume aoe hadi wake wanne. Hayo mengine ni kujipa moyo tuu sijui muende hotelini.. mtaenda hotelini mara ngapi? Kila wiki? Kumbuka hapa tunaongelea mfano mke wa ndoa ambae upo nae from january to december
Duh!...ukiona umemchoka mtongoze tena kwa mara nyingine..sisi huwa tunaita system update
Penzi au hisia zikifa, tafuta kampuni ya mazishi ifanye kazi yake. Usizisumbue hisia zakoMmeoana mkiwa mnapendana kwa dhati, mapenzi motomoto. Baada ya miaka kadhaa ukajikuta huna hisia kabisa na mwenzi wakoje kimila kidini au kisheria unaruhusiwa kumwacha?
Nipo kitandani muda huu hakuna kinachoendelea.
Ukweli ni kwamba wanawake wakijifungua watoto kadhaa hubadilika sana. Na kama hajiangalii akajiachia tu anaweza kuchakaa mapema sana. Sasa kama ulimpendea wembamba wa tumbo, sijui ngozi laini ndiyo utajijua. Na wakati mwingine hata misambwanda hupotea. Yaani mkeo aliyekuwa na msambwanda wa kutingishika sasa kazaa watoto wawili kajiachia kenenepa jumla kama vile kavaa ovaroli hata msambwanda huwezi kuuona tena. Hata akipita unamwangalia kwa jicho la kuibia unajisemea kimoyomoyo dah hapa nilipiga chini kuchagua.
Kama mdau alivyosema hapo juu, mwanaume una wajibu pia wa kuhakikisha kuwa mapenzi hayafi. Hakikisha mkeo anavaa vizuri. Anajipamba. Manukato uyapendayo. Kama unene wake unakukera fanyeni mazoezi pamoja. Mitoko (dates) angalau kwa mwezi mara mbili. Sehemu nzuri tulivu ambako mtakaa tu na kutathmini penzi lenu kwa ujumla. No hard talk. No ishu za watoto. No ishu za pesa. Just simple light talk. Mkumbushe kuwa bado unampenda na kama kuna kitu unakimisi mwambie. Open communication. Na wewe muulize kama kuna kitu anataka uwe unafanya ili kumsisimua. Yaweza kuwa ni kumsaidia jikoni akiwa anapika. Au kutandika kitanda pamoja kama mlivyokuwa mnafanya zamani. Au hata kumpaka mafuta na kumkanda kidogo akitoka kukoga au akitaka kulala. Wakati mwingine utakumbushwa kuwa mume wangu siku hizi wala huniambii kama unanipenda. Nakumisi sana mume wangu. Vitu vidogo ulivyokuwa unafanya zamani na sasa huvifanyi tena. Vizawadi vile vidogo vya kichokozi ulivyokuwa umemzoesha...
Mapenzi ni hisia na hisia, japo ni suala la kikemikali na homoni, saikolojia pia ina nafasi kubwa sana. Na mara nyingi ni vitu vidogo dogo tu...
...na jambo la muhimu sana ni kusali pamoja kama wote ni waumini. Hakuna jambo linaloleta amani ya kweli kwa wapendanao kama kupiga magoti mbele ya Mungu mkilia pamoja na kumkabidhi Mungu mapungufu yenu na kumuomba awasamehe ili nanyi msameheane na kuanza upya. Pure spiritual and emotional karthasis kwa wapendanao...
Tunachokosea sisi wanaume ni ile kuona hisia zimepungua na badala ya kutafuta suluhisho tunaamua kukata njia ya mkato kutafuta mchepuko ambao utakuwa unatufanyia yale ambayo tungependa wake zetu ndiyo watufanyie. Mapenzi nyumbani hakuna na watu mnaishi tu ali mradi mpo. Frustrations, tension na stress kibao hasira nje nje mwishowe hata maana ya ndoa inakosekana.
Wanandoa Mungu na Awasaidie![]()
Thanks broWell said brother, Umeongea points za msingi sana na ushauri mzuri kwa pande zote mme+mke

Hii avatar ya sasa haifai kabisa...Penzi likiisha fanya jitihada lianze upya, ukiona umeshindwa kabisa rudisha mpira kwa kipa,
Ila sijui utarudisha mipira mingap na kwa wangapi ss

Hii avatar ya sasa haifai kabisa...
Rudisha ile ya zamani pulizi ...![]()

nimekua handsome we huoniKwamba atadindisha au?..hisia zikiisha zmeisha tu..labda muachane ipite miaka miwil mrudiane tenaFikiria mazuri yake zitafufuka tu
Acha iishi siku chache halafu nitaweka yenyeweJapo siyo yenyewe ila hii ina unafuu kidogo. Asante![]()
Aisee ushauri mzuri huu.Ukweli ni kwamba wanawake wakijifungua watoto kadhaa hubadilika sana. Na kama hajiangalii akajiachia tu anaweza kuchakaa mapema sana. Sasa kama ulimpendea wembamba wa tumbo, sijui ngozi laini ndiyo utajijua. Na wakati mwingine hata misambwanda hupotea. Yaani mkeo aliyekuwa na msambwanda wa kutingishika sasa kazaa watoto wawili kajiachia kenenepa jumla kama vile kavaa ovaroli hata msambwanda huwezi kuuona tena. Hata akipita unamwangalia kwa jicho la kuibia unajisemea kimoyomoyo dah hapa nilipiga chini kuchagua.
Kama mdau alivyosema hapo juu, mwanaume una wajibu pia wa kuhakikisha kuwa mapenzi hayafi. Hakikisha mkeo anavaa vizuri. Anajipamba. Manukato uyapendayo. Kama unene wake unakukera fanyeni mazoezi pamoja. Mitoko (dates) angalau kwa mwezi mara mbili. Sehemu nzuri tulivu ambako mtakaa tu na kutathmini penzi lenu kwa ujumla. No hard talk. No ishu za watoto. No ishu za pesa. Just simple light talk. Mkumbushe kuwa bado unampenda na kama kuna kitu unakimisi mwambie. Open communication. Na wewe muulize kama kuna kitu anataka uwe unafanya ili kumsisimua. Yaweza kuwa ni kumsaidia jikoni akiwa anapika. Au kutandika kitanda pamoja kama mlivyokuwa mnafanya zamani. Au hata kumpaka mafuta na kumkanda kidogo akitoka kukoga au akitaka kulala. Wakati mwingine utakumbushwa kuwa mume wangu siku hizi wala huniambii kama unanipenda. Nakumisi sana mume wangu. Vitu vidogo ulivyokuwa unafanya zamani na sasa huvifanyi tena. Vizawadi vile vidogo vya kichokozi ulivyokuwa umemzoesha...
Mapenzi ni hisia na hisia, japo ni suala la kikemikali na homoni, saikolojia pia ina nafasi kubwa sana. Na mara nyingi ni vitu vidogo dogo tu...
...na jambo la muhimu sana ni kusali pamoja kama wote ni waumini. Hakuna jambo linaloleta amani ya kweli kwa wapendanao kama kupiga magoti mbele ya Mungu mkilia pamoja na kumkabidhi Mungu mapungufu yenu na kumuomba awasamehe ili nanyi msameheane na kuanza upya. Pure spiritual and emotional karthasis kwa wapendanao...
Tunachokosea sisi wanaume ni ile kuona hisia zimepungua na badala ya kutafuta suluhisho tunaamua kukata njia ya mkato kutafuta mchepuko ambao utakuwa unatufanyia yale ambayo tungependa wake zetu ndiyo watufanyie. Mapenzi nyumbani hakuna na watu mnaishi tu ali mradi mpo. Frustrations, tension na stress kibao hasira nje nje mwishowe hata maana ya ndoa inakosekana.
Wanandoa Mungu na Awasaidie![]()
Unashangaa saa saba hii wenzio tuna wiki ya tatu hakuna mwenye hamu na mwenzieMmeoana mkiwa mnapendana kwa dhati, mapenzi motomoto. Baada ya miaka kadhaa ukajikuta huna hisia kabisa na mwenzi wakoje kimila kidini au kisheria unaruhusiwa kumwacha?
Nipo kitandani muda huu hakuna kinachoendelea.
AminaUkweli ni kwamba wanawake wakijifungua watoto kadhaa hubadilika sana. Na kama hajiangalii akajiachia tu anaweza kuchakaa mapema sana. Sasa kama ulimpendea wembamba wa tumbo, sijui ngozi laini ndiyo utajijua. Na wakati mwingine hata misambwanda hupotea. Yaani mkeo aliyekuwa na msambwanda wa kutingishika sasa kazaa watoto wawili kajiachia kenenepa jumla kama vile kavaa ovaroli hata msambwanda huwezi kuuona tena. Hata akipita unamwangalia kwa jicho la kuibia unajisemea kimoyomoyo dah hapa nilipiga chini kuchagua.
Kama mdau alivyosema hapo juu, mwanaume una wajibu pia wa kuhakikisha kuwa mapenzi hayafi. Hakikisha mkeo anavaa vizuri. Anajipamba. Manukato uyapendayo. Kama unene wake unakukera fanyeni mazoezi pamoja. Mitoko (dates) angalau kwa mwezi mara mbili. Sehemu nzuri tulivu ambako mtakaa tu na kutathmini penzi lenu kwa ujumla. No hard talk. No ishu za watoto. No ishu za pesa. Just simple light talk. Mkumbushe kuwa bado unampenda na kama kuna kitu unakimisi mwambie. Open communication. Na wewe muulize kama kuna kitu anataka uwe unafanya ili kumsisimua. Yaweza kuwa ni kumsaidia jikoni akiwa anapika. Au kutandika kitanda pamoja kama mlivyokuwa mnafanya zamani. Au hata kumpaka mafuta na kumkanda kidogo akitoka kukoga au akitaka kulala. Wakati mwingine utakumbushwa kuwa mume wangu siku hizi wala huniambii kama unanipenda. Nakumisi sana mume wangu. Vitu vidogo ulivyokuwa unafanya zamani na sasa huvifanyi tena. Vizawadi vile vidogo vya kichokozi ulivyokuwa umemzoesha...
Mapenzi ni hisia na hisia, japo ni suala la kikemikali na homoni, saikolojia pia ina nafasi kubwa sana. Na mara nyingi ni vitu vidogo dogo tu...
...na jambo la muhimu sana ni kusali pamoja kama wote ni waumini. Hakuna jambo linaloleta amani ya kweli kwa wapendanao kama kupiga magoti mbele ya Mungu mkilia pamoja na kumkabidhi Mungu mapungufu yenu na kumuomba awasamehe ili nanyi msameheane na kuanza upya. Pure spiritual and emotional karthasis kwa wapendanao...
Tunachokosea sisi wanaume ni ile kuona hisia zimepungua na badala ya kutafuta suluhisho tunaamua kukata njia ya mkato kutafuta mchepuko ambao utakuwa unatufanyia yale ambayo tungependa wake zetu ndiyo watufanyie. Mapenzi nyumbani hakuna na watu mnaishi tu ali mradi mpo. Frustrations, tension na stress kibao hasira nje nje mwishowe hata maana ya ndoa inakosekana.
Wanandoa Mungu na Awasaidie![]()
Nilikuwa nimepanga mwaka huu ila Korona imenivurugia ratibaAisee ushauri mzuri huu.
Vipi mkuu ushaoa? (Mume bora). Ubarikiwe

. Wewe umeshaolewa? (mke bora). Ubarikiwe pia 

Hahaa Corona hii ,ila isijekua unaisingizia tu, mi naona ndiyo imerahisisha hakuna gharama za sherehe, ni wewe tu na bibi harusi wako imeishaa, Mimi bado mkuu ndiyo nilikua naulizia kama kuna chanceNilikuwa nimepanga mwaka huu ila Korona imenivurugia ratiba. Wewe umeshaolewa? (mke bora). Ubarikiwe pia
![]()

au nimpindue huyo mtarajiwa??