Hisia za kuwa na wanawake wengi kwa wakati mmoja mnazipataje?

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Naombeni msaada mwenzenu mimi nina matatizo nahisi kabisa sijakamilika.

Yaani mimi nikiwa na mwanamke mmoja kwenye mahusiano siwezi kutoka au kulala na mwanamke mwingine hata awe mzuri vipi.

Na hata anivulie nguo hisia huwa haziji kabisa. Kitu hicho kinanitesa sana, nahisi sijakamilika kabisa.

Vipi wenzangu ninyi hizo hisia za kuweka wanawake mia mbili kwenye akili moja au moyo mmoja mnazipataje?

Naomba tupeane mbinu na mimi nifaidike na matunda ya ulimwengu huu.
 
Hivyo ndo vizuri mkuu chepuka kwa emergence maana ma men tunaruka ruka kwa sababu mbali mbali ikiwemo kutokujiamini, ukosefu wa pesa, ukosefu wa mwanamke wa ndoto zetu nakazalika, ila ukipata pisi moja matata ukashibana nayo kuchepuka ni mara chache chache.
 
Mstari wako wa kwanza kabisa katika uzi wako umejijibu nanukuu ulichoandika;

"Naombeni msaada mwenzenu mimi nina matatizo nahisi kabisa sijakamilika."

Wanaume wote wana tamaa haijalishi kwa sasa ana mwanamke mrembo kiasi gani bado akiona mwingine mzuri atamtamani tu

Usihisi haujakamilika ni kwamba wewe kihalisi sio mwanamume kamili
 
Naombeni msaada mwenzenu mimi nina matatizo nahisi kabisa sijakamilika.

Yaani mimi nikiwa na mwanamke mmoja kwenye mahusiano siwezi kutoka au kulala na mwanamke mwingine hata awe mzuri vipi.

Na hata anivulie nguo hisia huwa haziji kabisa. Kitu hicho kinanitesa sana, nahisi sijakamilika kabisa.

Vipi wenzangu ninyi hizo hisia za kuweka wanawake mia mbili kwenye akili moja au moyo mmoja mnazipataje?

Naomba tupeane mbinu na mimi nifaidike na matunda ya ulimwengu huu.
Utakua Crossgender human neenda hospitali ukajichunguze ni asili ya mwanaumme alijali kutamani wanawake wengine hata kama hatawatimia, some time kutumia urembo wawanawake wengine kuvuta hisia za mapenzi kwa mke kama ni wa kawaida
 
Naombeni msaada mwenzenu mimi nina matatizo nahisi kabisa sijakamilika.

Yaani mimi nikiwa na mwanamke mmoja kwenye mahusiano siwezi kutoka au kulala na mwanamke mwingine hata awe mzuri vipi.

Na hata anivulie nguo hisia huwa haziji kabisa. Kitu hicho kinanitesa sana, nahisi sijakamilika kabisa.

Vipi wenzangu ninyi hizo hisia za kuweka wanawake mia mbili kwenye akili moja au moyo mmoja mnazipataje?

Naomba tupeane mbinu na mimi nifaidike na matunda ya ulimwengu huu.
Siku ukisalitiwa zitakuja tu zenyewe
 
Mstari wako wa kwanza kabisa katika uzi wako umejijibu nanukuu ulichoandika;

"Naombeni msaada mwenzenu mimi nina matatizo nahisi kabisa sijakamilika."

Wanaume wote wana tamaa haijalishi kwa sasa ana mwanamke mrembo kiasi gani bado akiona mwingine mzuri atamtamani tu

Usihisi haujakamilika ni kwamba wewe kihalisi sio mwanamume kamili
Au huyo mwanamke tayari kashamtengeneza mwamba

Vile anavyoanza kujiuliza kama hivi juju lishaanza ku expire akili updates mwamba anarudi kuwa zombi
 
Yaani kila nikijitahidi niwe na mwanamke Mmoja au nisiwe nae niwe kama yesu nashindwa kwakweli imposibile haiwezekani

Mtoa mada huwezi kushindana na nature mfano mzuri ni king Solomon wa kwenye biblia
 
Back
Top Bottom