ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,264
- 40,900
nimekuja,, hebu nimalizie hii kazi nikujibu nikiwa nimetulia, nisijibu kwa hisia😄Binti wa zamani
win-one
ERoni babu
Grahams
Seran mom
Mshana Jr Dad
Mbaga Jr mdogo wangu
Robert Heriel Mtibeli my Brother
Njoo na madini tuone kama ada haikupotea burenimekuja,, hebu nimalizie hii kazi nikujibu nikiwa nimetulia, nisijibu kwa hisia😄
Na kwanini akae ukweni sasa😅Nisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni
Sauti ni ndogo Mr PresidentNisikilizeni mwanaume wa ukweli hakai ukweni
Nina 😴🛌💤, nitajibu keshoJe, hisia ni nini?
Mara nyingi utasikia mtu akisema baada ya jambo kutokea
Nilihisi tu itakuwa hivi au
Kabla hii issue haijatokea, nilihisi kuna kitu hakipo sawa
Maneno haya hujitokeza mara nyingi baada ya tukio husika kutokea
Je, hisia ndizo zinazoitwa machale?
Wengine husema :Machale yalinicheza
Hapa tnajiuliza, je hisia na machale ni kitu kimoja au kuna tofauti?
Hisia ni kitu gani hasa?
Zipo aina mbalimbali za hisia, kama vile
Hisia za maumivu
Hisia za furaha
Na ile hali ya kuhisi jambo fulani kabla halijatokea, mfano kuhisi hatari iliyo mbele
Je, inawezekana ku control hisia zako?
Je, unaweza kuzifanya ziwe nzuri au mbaya kulingana na hali?
Ni namna gani mtu anayetawaliwa na hisia anaweza kujinasua na kutumia akili zaidi?
Karibuni kwa mjadala 🙏
ShesRise_1
Sawa dear 🧡Nina usingizi, nitajibu kesho
naam first his name and office, the true leader of the jobless pro max organization.Sauti ni ndogo Mr President
Usi chezee simu ya mganga, uta delete mizimu.Na kwanini akae ukweni sasa😅
Mimi kama mkwe namtimua
Enhee changia basi kidogo mada mkuu
Intelligent businessman jina kubwa ujue
Njaa ya nini?Binti wa zamani Nina hisia ya njaa 😌
Jamani mada si umesoma lakini🤔Hisia ni hisia. He, unataka kujua hisia zipi?
GudubaiiUsi chezee simu ya mganga, uta delete mizimu.
Maziwa na nyamaNjaa ya nini?
Pole sana, sina msaada ShesRise_1 kama una bucha msaidie kijana!Maziwa na nyama
Ila dada mi bucha natoa wapiPole sana, sina msaada ShesRise_1 kama una bucha msaidie kijana!