Muungano hauna kikomo Mkuu, Tukianza kushereheka Alhamisi tunaweza kuendeleza tu.Mkuu tutasherehekea kwa siku ngapi? Mana pasaka ni siku 4 na eid huwa siku 2
kama wewe unajiamini tukutane pale shubhamitNimatumaini yangu yakuwa kila Mtanzania anatambua kwamba kuna sikuku yetu pendwa inayosubiriwa kwa hamu sikukuu ya Muungano, Alhamisi ya 26 April 2018.
Muungano (Union) ni kitendo cha kuwa pamoja, Hivyo Watanzania tuna takiwa tuwe na uthubutu wa kuwa pamoja na kushereka kwa amani kwenye siku hii muhimu.
Watanzania tunatakiwa tuonyeshe jinsi gani tunaweza kushereheka kwa pamoja na kuonyesha yakuwa tunamchukia mtu yeyote yule anaejaribu kututenganisha either Kikanda, Kiitikadi za kisiasa ama za Kidini.
Umoja wetu katika Sherehe hizi, utadhirishia ulimwengu yakuwa Watanzania ni watu wenye kupenda furaha na wanachukia mtu yeyoyote anae wanyima furaha, Anae wadanganya, Anaewanyima ajira, Anae watekea ndugu zao, Anae waulia vijana wao, Anae wadharau na kuwapa maneno ya kebehi pale wanapopata majanga.
Watanzania wenzangu naomba tushereheke kwa Pamoja na kwa Amani ikiwezekana sikukuu hii tushereheke kwa Kubeba Vitabu vya Dini.
Tukishereheka kwa pamoja tutarudisha amani yetu, furaha yetu na Utanzania wetu kwa ujumla, tuondoe ukanda na uvyama.
Kwa mimi wa Dar ntakuwa na shereheka mitaa ya Samora Avenue, Askari monument.
Sijui wewe utapatikana wapi?
Mimi najiamini sana tu Mkuu,kama wewe unajiamini tukutane pale shubhamit
Nimatumaini yangu yakuwa kila Mtanzania anatambua kwamba kuna sikuku yetu pendwa inayosubiriwa kwa hamu sikukuu ya Muungano, Alhamisi ya 26 April 2018.
Muungano (Union) ni kitendo cha kuwa pamoja, Hivyo Watanzania tuna takiwa tuwe na uthubutu wa kuwa pamoja na kushereka kwa amani kwenye siku hii muhimu.
Watanzania tunatakiwa tuonyeshe jinsi gani tunaweza kushereheka kwa pamoja na kuonyesha yakuwa tunamchukia mtu yeyote yule anaejaribu kututenganisha either Kikanda, Kiitikadi za kisiasa ama za Kidini.
Umoja wetu katika Sherehe hizi, utadhirishia ulimwengu yakuwa Watanzania ni watu wenye kupenda furaha na wanachukia mtu yeyoyote anae wanyima furaha, Anae wadanganya, Anaewanyima ajira, Anae watekea ndugu zao, Anae waulia vijana wao, Anae wadharau na kuwapa maneno ya kebehi pale wanapopata majanga.
Watanzania wenzangu naomba tushereheke kwa Pamoja na kwa Amani ikiwezekana sikukuu hii tushereheke kwa Kubeba Vitabu vya Dini.
Tukishereheka kwa pamoja tutarudisha amani yetu, furaha yetu na Utanzania wetu kwa ujumla, tuondoe ukanda na uvyama.
Kwa mimi wa Dar ntakuwa na shereheka mitaa ya Samora Avenue, Askari monument.
Sijui wewe utapatikana wapi?
Mkuu tutasherehekea kwa siku ngapi? Mana pasaka ni siku 4 na eid huwa siku 2
Hahaha...people are so creative,I can see a new TanzaniaMuungano hauna kikomo Mkuu, Tukianza kushereheka Alhamisi tunaweza kuendeleza tu.
Kuna vijana wa Ngarnaro na wa Mbauda wamesema wao watafika hapo alfajiri sana kujumuika na sherehehe hio.Clock tower, ar-city nitajiunga na wenzangu kusheherekea muungano
lazima ihairishwe na fedha za sherehe zitajemgea vituo vya afya nchi nzima.Mwaka huu hiyo sikukuu ni haramu hivyo hutakiwi kusherehekea
Muwe mnaweka avator mnazoendana nazo.Tukutane msamvu morogoro
Karibu sana Mkuu, tupo pamoja.Kwa kweli umenikumbusha vyema kabisa kumbe 26/4/2018 kuna sherehe za muungano nitakuja hapo Samora Mkuu tuko pamoja