1. Kua katika mousanyiko kisha kijana/mwanaume mwenyw rika lake anashuka kwenye ndinga, wakati huo yeye hana mbele wala nyuma, huwa wanajisikia unyonge mkali sana.
2. Anapopishana na mwanaume alie handsone. Yani wanaume wakipishana na mwamaume ambae ni mzuri, tena hapo wakiwa kwenye kundi la watu, kuna hiaia flan wanazipata za unyonge si untonge, huzuni si huzuni ila kifupi tu, wanakua hawapo sawa.
Kuhusu gari, yoyote yule anaweza kumiliki ila kama hujaaliwa uzuri na unasura personal, bas tulia tu na umshukuru Mungu, hakuna kitu unaweza fanya ukabadilisha sura/shape yako.
Mi huwa nafanya makusudi, mda mwengine nikiona jamaa kakaa na demu wake, napita tu niwavuruge wote wawili. Mwanaume anapata inferiority complex, mwanamke ananitamn
Andika Vizuri, unaharibu kiswahili1. mousanyiko.
2. hiaia, untonge.
Huyu dogo hekaya zake 😂 eniwei mwenzie ka launch gengeWewe Haszu mpaka wanaume wa Jf wakuchape makonzi ndio utatuliza hilo chogo lako😂
😂😂 Shalom ShalomHuyu dogo hekaya zake 😂 eniwei mwenzie ka launch genge
Chai1. Kua katika mousanyiko kisha kijana/mwanaume mwenyw rika lake anashuka kwenye ndinga, wakati huo yeye hana mbele wala nyuma, huwa wanajisikia unyonge mkali sana.
2. Anapopishana na mwanaume alie handsone. Yani wanaume wakipishana na mwamaume ambae ni mzuri, tena hapo wakiwa kwenye kundi la watu, kuna hiaia flan wanazipata za unyonge si untonge, huzuni si huzuni ila kifupi tu, wanakua hawapo sawa.
Kuhusu gari, yoyote yule anaweza kumiliki ila kama hujaaliwa uzuri na unasura personal, bas tulia tu na umshukuru Mungu, hakuna kitu unaweza fanya ukabadilisha sura/shape yako.
Mi huwa nafanya makusudi, mda mwengine nikiona jamaa kakaa na demu wake, napita tu niwavuruge wote wawili. Mwanaume anapata inferiority complex, mwanamke ananitamn
Shalom, aseeh watanunua wenzie wa sinza hapo 😂 nitoke mtogole nikanunue kitunguu sinza😂😂 Shalom Shalom
Gengeni kuna hadi AC, hatarious
Kwamba soda haina gesi
Ww sio kijana wa upinde kweli1. Kua katika mousanyiko kisha kijana/mwanaume mwenyw rika lake anashuka kwenye ndinga, wakati huo yeye hana mbele wala nyuma, huwa wanajisikia unyonge mkali sana.
2. Anapopishana na mwanaume alie handsone. Yani wanaume wakipishana na mwamaume ambae ni mzuri, tena hapo wakiwa kwenye kundi la watu, kuna hiaia flan wanazipata za unyonge si untonge, huzuni si huzuni ila kifupi tu, wanakua hawapo sawa.
Kuhusu gari, yoyote yule anaweza kumiliki ila kama hujaaliwa uzuri na unasura personal, bas tulia tu na umshukuru Mungu, hakuna kitu unaweza fanya ukabadilisha sura/shape yako.
Mi huwa nafanya makusudi, mda mwengine nikiona jamaa kakaa na demu wake, napita tu niwavuruge wote wawili. Mwanaume anapata inferiority complex, mwanamke ananitamn
Anapopishana na mwanaume alie handsone. Yani wanaume wakipishana na mwamaume ambae ni mzuri, tena hapo wakiwa kwenye kundi la watu, kuna hiaia flan wanazipata za unyonge si untonge, huzuni si huzuni ila kifupi tu, wanakua hawapo sawa.