Kibirizi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 604
- 149
Katika kiunga fulani cha jiji la Dar Es Salaam, mtoto mmoja alitumwa akanunue maziwa ya unga kilo mbili, lakini alivyoenda dukani akaambiwa maziwa ya kilo mbili hayapo ila yapo ya kilo moja moja.
Basi mtoto yule alirudi nyumbani kwa mzazi aliyemtuma na kumwambia kama alivyoelezwa dukani, basi yule mzazi aliyemtuma akamfokea mtoto na kumweleza kwamba kwa nini hakuchukua kilo moja moja makopo mawili ili itimie kilo mbili, mtoto alimwomba samahani mzazi na kumwahidi mzazi kwamba hatarudia tena, siku nyingine mzazi yule yule alimtuma gazeti la tarehe mbili, mtoto alienda kwa muuzaji wa magazeti na alilikosa gazeti la tarehe mbili na akayakuta ya tarehe moja, basi mtoto yule aliamua kuchukua magazeti ya tarehe moja mawili jumla yalete tarehe mbili, mzazi kuletewa alishangaa sana.