Mimi sio CFESAwaCFE, tunaendelea kujifunza na kutorudia kosa, sasa je niuze maana zinazidi kuporomoka?
Gen Z mnapenda majibu ya moja kwa moja ndio au hapana mnakua wagumu sana kufikiri mkiona maandishi mengi. Kwenye comment yangu kuna jibu tafakari.HUJAJIBU SWALI LA MTOA MADA
AU NISEME UMEJIBU SWALI AMBALO HUJAULIZWA....