Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,593
- 13,420
Hiyo mizungu ni mijinga na mipumbavu. Yaani hela wanapeleka kwenye silaha za kuua watu. Mpaka sisi huku tusiohusika tunateseka. Yaani roketi moja kama bomba la mabati mabati eti ndio milioni miambili 😂😂😂. Hao jamaa wanahela za kuchezea na ni wapumbavu sana na wajingawajinga 😂😂😂Kuitwa mkuu wa dunia kuna garama zake boss. Hujaona matajiri wa bongo pia wanasifiwa na kuabudiwa kwa sababu wanatumia pesa mkuu .
MkuuKiboko ya Putin
Nchi kama Sri Lanka,Lebanon,Haiti zimeingia kwenye crisis kubwa ya kiuchumi mpaka usalama umekuwa hatarini,sio Cha US,EU,UN,IMF wala WB waliongia kuokoa jahazi walau Kwa makubaliano!Hawana interest kabisa,Sasa ngoja itokee vita ndio mtaona wanavyosogea kujitongozesha!Kuitwa mkuu wa dunia kuna garama zake boss. Hujaona matajiri wa bongo pia wanasifiwa na kuabudiwa kwa sababu wanatumia pesa mkuu .
Ila hapo ni bila hizo rocket missiles!Ndio Bei yake Mkuu. Huu mfumo wala sio complex kivile ukilinganisha na mifumo mingine km Tomahawk,nk
Tomahawk nadhan ni cruise missile ambayo inakuwa launched kwenye platform tofauti tofauti, it's not a system but part of it.Ndio Bei yake Mkuu. Huu mfumo wala sio complex kivile ukilinganisha na mifumo mingine km Tomahawk,nk
Siku mkomandoo wenu huko wakiacha kukimbia na mabegi mgongoni, kuvunja tufali kwa mkono na kupindisha nondo siku za sherehe na maonyesho ndio tutakupeni bei ya HIMARS 1.,Himars moja iliyokamilika na makombora na system yake ni bei gani?
Naomba kujua bei tu.
Inawezekana vita ni biashara inayolipa sana. Yaani nimeshangaa kujua bei ya himar na roketi moja(roketi 1 ni 200m)! Kama wana nia njema waje watusaidie huku bongo, tozo zinatutesa na watu hatuna ajiraNchi kama Sri Lanka,Lebanon,Haiti zimeingia kwenye crisis kubwa ya kiuchumi mpaka usalama umekuwa hatarini,sio Cha US,EU,UN,IMF wala WB waliongia kuokoa jahazi walau Kwa makubaliano!Hawana interest kabisa,Sasa ngoja itokee vita ndio mtaona wanavyosogea kujitongozesha!
Walau Russia aliwasaidia Sri lanka mafuta!
😂Siku mkomandoo wenu huko wakiacha kukimbia na mabegi mgongoni, kuvunja tufali kwa mkono na kupindisha nondo siku za sherehe na maonyesho ndio tutakupeni bei ya HIMARS 1.,
Hilo kombora ni ATACM ambalo lina range ya 300kmWakuu hii ni HIMARS type gani? Na hizi silaha hapa chini ni zipi?
T14 Armata
MK254
Na wengine, naomba kujuaView attachment 2358787
Hapo ni jumla. Mfumo mmoja wa Himars pamoja na Rocket sita. HIMARS moja ni $3.8-4m na Rocket moja ya Himars inarange $110k-150k.Ila hapo ni bila hizo rocket missiles!
Uko sahihi.Tomahawk nadhan ni cruise missile ambayo inakuwa launched kwenye platform tofauti tofauti, it's not a system but part of it.
Aaah okay!Hapo ni jumla. Mfumo mmoja wa Himars pamoja na Rocket sita. HIMARS moja ni $3.8-4m na Rocket moja ya Himars inarange $110k-150k.
Bado training kuyatumia.Duh-12,000,000,000/=
Hiyo ni moja tu?
Extended range yake ni 500km ambayo ipo under development.Hilo kombora ni ATACM ambalo lina range ya 300km
Kama umesoma economics, kuna jamaa anaitwa friedman - huyu jamaa anakwambia US ndo taifa pekee duniani ambalo linaweza kufunga mipaka na kufanya biashara ndani kwa ndani for years.Duh! Vita kumbe inatumia hela nyingi hivyo? Na watu hawasemi 😂😂, na nchi haifilisiki
Washatoka kwenye development phase Mkuu. Mwakani wanaingia kwenye production.US army watakua WA Kwanza kupokea mzigo.Extended range yake ni 500km ambayo ipo under development.
Si ili wauane MkuuMia 500?.yote hayo anataka ya nini sasa?.
Hivi mkuu hawa jamaa wanatengeneza silaha peke yake hakuna vitu vya kutumia sisi wananchi wa kawaida?Lockheed Martin hao, hawajawahi kukosea.