Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,742 Dec 13, 2023 #1 π€£ ππππππ΅ Ipe neno moja hiyo habari umelewa kitu gani hapo?
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,019 Reaction score 104,625 Dec 13, 2023 #2 Ahera hakuendeki, dunia haikaliki, nimepatwa na mfadhaikooo.. π€£π
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,318 Reaction score 46,060 Dec 13, 2023 #3 Kwamba ametengenezwa mazingira ya kuonelana amrlefariki na akapotea ?
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,477 Reaction score 45,050 Dec 13, 2023 #4 Utajiua then ukimbilie kusikojulikana? Maiti kumbe hukimbia.
H HOPEfull JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 1,881 Reaction score 2,316 Dec 13, 2023 #5 Herbalist Dr MziziMkavu said: View attachment 2841435 π€£ ππππππ΅ Ipe neno moja hiyo habari umelewa kitu gani hapo? Click to expand... Duuh!!;:'"&+##+(/@Β©
Herbalist Dr MziziMkavu said: View attachment 2841435 π€£ ππππππ΅ Ipe neno moja hiyo habari umelewa kitu gani hapo? Click to expand... Duuh!!;:'"&+##+(/@Β©
begi la pesa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2019 Posts 1,822 Reaction score 2,862 Dec 13, 2023 #6 AUA NA KUKIMBLIA KUSIKOJULIKANA
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,147 Reaction score 831,818 Dec 13, 2023 #7 makaveli10 said: Ahera hakuendeki, dunia haikaliki, nimepatwa na mfadhaikooo.. Click to expand... Nimefazaika Sent using Jamii Forums mobile app
makaveli10 said: Ahera hakuendeki, dunia haikaliki, nimepatwa na mfadhaikooo.. Click to expand... Nimefazaika Sent using Jamii Forums mobile app
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,019 Reaction score 104,625 Dec 13, 2023 #8 Mshana Jr said: Nimefazaika Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Vijana jazz kwenye ubora wao.
Mshana Jr said: Nimefazaika Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Vijana jazz kwenye ubora wao.
A Father JF-Expert Member Joined Nov 11, 2012 Posts 1,385 Reaction score 602 Dec 13, 2023 #9 Dkt Mzizi Mkavu wapi alipo jamani? Huyu kwa wanaokumbuka enzi hizo alisaidia wengi sana magonjwa mbalimbali Sijui kilichotokea aweki tena mada zake humu popote ulipo dk njoo usaidie jamii inakukumbuka sana CC Dkt. Mzizimkavuu www.jamiiforums.com
Dkt Mzizi Mkavu wapi alipo jamani? Huyu kwa wanaokumbuka enzi hizo alisaidia wengi sana magonjwa mbalimbali Sijui kilichotokea aweki tena mada zake humu popote ulipo dk njoo usaidie jamii inakukumbuka sana CC Dkt. Mzizimkavuu www.jamiiforums.com
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 33,880 Reaction score 32,657 Dec 13, 2023 #10 Mshana Jr said: Nimefazaika Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sasa "unafazaika" na nini hapo, hebu komaa uelewe hiyo storiπ
Mshana Jr said: Nimefazaika Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sasa "unafazaika" na nini hapo, hebu komaa uelewe hiyo storiπ
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,310 Reaction score 105,039 Dec 13, 2023 #11 Hii kitu ilishawahi kunitokea
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,147 Reaction score 831,818 Dec 13, 2023 #12 Magonjwa Mtambuka said: Sasa "unafazaika" na nini hapo, hebu komaa uelewe hiyo stori Click to expand... Imenifazaisha hiyo story Sent using Jamii Forums mobile app
Magonjwa Mtambuka said: Sasa "unafazaika" na nini hapo, hebu komaa uelewe hiyo stori Click to expand... Imenifazaisha hiyo story Sent using Jamii Forums mobile app
W wangatala JF-Expert Member Joined Apr 4, 2022 Posts 3,787 Reaction score 7,973 Dec 13, 2023 #13 makaveli10 said: Vijana jazz kwenye ubora wao. Click to expand... Hemed Maneti/Kida Waziriπ
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,503 Reaction score 176,611 Dec 13, 2023 #14 makaveli10 said: Ahera hakuendeki, dunia haikaliki, nimepatwa na mfadhaikooo.. π€£π Click to expand... ππππ
makaveli10 said: Ahera hakuendeki, dunia haikaliki, nimepatwa na mfadhaikooo.. π€£π Click to expand... ππππ
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,019 Reaction score 104,625 Dec 13, 2023 #15 Atoto said: ππππ Click to expand... My V.i.p π
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,019 Reaction score 104,625 Dec 13, 2023 #16 wangatala said: Hemed Maneti/Kida Waziriπ Click to expand... Walikuwa mafundi saana, moja kati ya wataalamu wangu wa enzi hizo.
wangatala said: Hemed Maneti/Kida Waziriπ Click to expand... Walikuwa mafundi saana, moja kati ya wataalamu wangu wa enzi hizo.
W wangatala JF-Expert Member Joined Apr 4, 2022 Posts 3,787 Reaction score 7,973 Dec 13, 2023 #17 makaveli10 said: Walikuwa mafundi saana, moja kati ya wataalamu wangu wa enzi hizo. Click to expand... Niliitaka iwe Siri πΆ Magaidi WA msumbiji πΆ Mtoa mada kunradhi πππ
makaveli10 said: Walikuwa mafundi saana, moja kati ya wataalamu wangu wa enzi hizo. Click to expand... Niliitaka iwe Siri πΆ Magaidi WA msumbiji πΆ Mtoa mada kunradhi πππ
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,019 Reaction score 104,625 Dec 13, 2023 #18 wangatala said: Niliitaka iwe Siri πΆ Magaidi WA msumbiji πΆ Mtoa mada kunradhi πππ Click to expand... Ukitaka nisiinuke basi we weka NGAPULILA dah, miguu inaishiwa pozi, ngoma haijawahi kuisha utamu masikioni mwangu.
wangatala said: Niliitaka iwe Siri πΆ Magaidi WA msumbiji πΆ Mtoa mada kunradhi πππ Click to expand... Ukitaka nisiinuke basi we weka NGAPULILA dah, miguu inaishiwa pozi, ngoma haijawahi kuisha utamu masikioni mwangu.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,248 Reaction score 69,819 Dec 13, 2023 #19 Milard Ni Mpuuzi Kijana Wa Hovyo Hovyo
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,307 Dec 14, 2023 #20 Duh aiseee