Hilo Kokolo kwa Kiswahili Linaitwaje?

Hilo Kokolo kwa Kiswahili Linaitwaje?

Hii kokolo nilikua naigonga na gari sana enzi na cheza game ya gt4 .nikiigonga tu maji yana mwagika ila jina lake sikuwahi kulijua
Hakuna aliye toa jibu la swali.Tumeulizwa kwa kiswahili linaitwaje? kwa niaba ya wote tusiojua naomba msaada kwa bibie F.Foxy,akishindwa na yeye BAKITA tusaidieni.
 
Hizo ni water points kwa ajili ya emergences kama majanga ya moto,usafi au hata maji kwa matumizi mengine.Huwa unachomekwa mpira hapo kwa kazi hiyo.Kama sijakosea mpira huo unaitwa Horse pipe
Asante kwa kunipa elimu mkuu......
 
Back
Top Bottom