Hillary Clinton kutembelea Kenya. Wakenya watupiga bao.

Tatu said:
They (US/Kenya) have their priorities.

What's our (Tanzania) priorities?

What's Kenya/US get in return as you know, there's no free lunch!

Tatu,

..kuanzia miaka ya 1990 tulisema Tanzania itaanza kutekeleza diplomasia ya UCHUMI na BIASHARA.

..naona hii ziara tuichukulie kama changamoto. kama tunataka kuwa vijogoo wa diplomasia hiyo basi tuya-engage mataifa mengine ktk masuala kama kilimo, biashara,utalii, etc.
 
Jokaa Kuu,

Nilikuwa sina mpango wa kuandika kwenye hii thread ila nimelazimika baada ya kuona aliyeweka mtundiko ni wewe...Of all people!

YAANI kweli baado unaamini Foreign Minister wa USA kutembelea jirani zetu tumepigwa bao? Mkuu..ni wewe au kuna mtu kaiba password yako?

Bado unaamini kwamba kusudi kilimo chetu kiendelee tunahitaji powerful delegation ya kina Hillary na Vilsack? Really? Kwa lipi..au mkuu unafikiri kauli za hawa watu zitatuondolea matatizo yetu? au ndo ule msemo wa wakatoliki "sema neno moja tuu na roho zetu zitapona?" Na baada ya Kenya atakwenda DRC, Angola nk..unafikiri watapata unafuu kwa kutembelewa na huyu mama?

Juzi baba mwenye mji Obama alikuwa Ghana..hebu niambie ile ziara imewapa nini waghana wa kawaida wanaohangaika kujitafutia mkate wa kila siku? zaidi ya foleni za magari??? Jamani tuache hizi mentality..This is way to low! especially kwa mtu makini kama Jokaa Kuu!

Africa we are poor. But we deserve atleast a minimum courtesy of decency jamani.....Kama kutembelewa na wakubwa..hata Bush alikuja akatuachia 698 M za kuua mbu na kujiletea maendeleo..I dont know where we stand now..Raisi wa China yeye alikuja akatuachia $$25M! Ama kweli ngozi nyeusi ina balaa!
 
Siyo tu foleni za magari, ila waliambiwa kwa muda ambao Obama yupo, hakuna aliyeruhusiwa kuendelea na shughuli zake za kila siku barabarani (wamachinga walipigwa marufuku kabisa).
 
Masanja,

..angetembelea Rwanda definetely ungekuja na reaction tofauti.

..kilimo chetu hakiwezi kuendelea kwa ziara moja ya Mama Clinton.

..lakini hii ziara tells us something about kilimo na biashara ya hawa ndugu zetu Wakenya.

..tena usije ukashangaa moja kati ya bidhaa ambazo wenzetu wanauza Marekani kupitia AGOA ni Tanzanite yetu. yaani they are making more profit out of it kuliko Watanzania.

..kwamba waziri wa mambo ya Nje wa USA anatembelea Kenya na theme ya ziara yake siyo Al-Qaeda pamoja na kwamba Kenya wameshambuliwa mara mbili, au Somalia pamoja na kwamba wamepakana nayo, bali anakwenda kujadili KILIMO na BIASHARA ni suala la kuwapongeza watani wetu wa jadi.

NB:

..Obama amekwenda Ghana ku-acknowledge jinsi walivyoendesha uchaguzi wao kwa ustaarabu wa hali ya juu.

..sasa mnapowabeza Waghana mna uhakika kwamba demokrasia Tanzania iko matured kuliko ya Ghana?
 
Jamani,
Ngoja nimtetee jokaKuu. Labda neno kupigwa bao ndilo limewapa wengi wenu shida. Nadhani anachojaribu kusema ni kwamba licha ya sisi kujidai kuwa mstari wa mbele kukutana na Obama and what have you, wenzetu wako serious when it comes to their priorities. Kama alivyouliza Tatu sisi priorities zetu ni nini? Kukutana tu na Obama White House? And then what? Angalia AGOA. Wenzetu Waganda na Wakenya wameishupalia sana sisi huku tumelala. Kuna wakati nilikwenda mkutano wa AGOA mjini Washington. Kenya na Uganda walikuwa na high level delegation kutoka nyumbani wakati sisi hata balozi tu hakuwepo kwenye huo mkutano. Let us get serious, people.
 
Mkiendelea kuwababaikia wazungu mjue ndio mnaendelea kuihalalisha falsafa ya ndivyo tulivyo.

Hypothetically speaking, kusingekuwa na hawa Wamarekani hapa duniani, mngembabaikia nani au mngemsubiri nani aje awakomboe ktk ufukara?
 
Jasusi,

..asante sana.

..kuna sababu zinazomfanya Mama Clinton aende Kenya na siyo mahali pengine kujadili KILIMO na BIASHARA/AGOA.
 
Jasusi,

..asante sana.

..kuna sababu zinazomfanya Mama Clinton aende Kenya na siyo mahali pengine kujadili KILIMO na BIASHARA/AGOA.

Mwache aende huko Kenya...kwani akienda ndio nini? Sisi tufanye mambo yetu kivyetu vyetu bila kutaka kuwa impress wazungu na tutafanikiwa tu
 
Jasusi,

..majuzi Rev.Kishoka alianzisha thread kuhusu AGOA.

..sikusikia kwamba kitu hiki ni kibaya kwa Tanzania.

..leo wanasikia Kenya wamechangamka kuliko sisi, na wanakuwa acknowledged na USA, basi tayari AGOA imegeuka kuwa mbaya.

NB:

..halafu hili suala limetu-gulvanize Watanzania kweli kweli.

..utafikiri siyo wale tuliokuwa tukishikana makoo kuhusu Udini.
 
..leo wanasikia Kenya wamechangamka kuliko sisi, na wanakuwa acknowledged na USA, basi tayari AGOA imegeuka kuwa mbaya.

Hapo ndio ulipokosea kwa kuonyesha udhaifu wako mbele ya US! Kwa hiyo US wakikusifia ina maana unafanya kitu kizuri na bila baraka zao basi huwezi kufanikiwa ktk lolote? Bullshit....
 
Tatizo ni kwamba mara nyingi ni vigumu kumeza ukweli mchungu.Msiotaka endeleeni kutotaka,lakini ukweli unabaki kuwa Secretary of State (awe Clinton au hata ingekuwa Sarah Palin) kutembelea Afrika kusini mwa Sahara na kutotia mguu Tanzania inapaswa kuwa ishu.May be si ishu kwenu lakini wenye kuipenda nchi yao wanapaswa kushtuka,just like "ziara ya kwanza ya Rais kutoka Afrika-Jakaya Mrisho Kikwete" ilivyopata mwangwi mkubwa.

Je huu si uthibitisho kuwa huenda JK alibembeleza tu ile photo-call na Obama na sasa washamsahau when it comes to serious business?
 
Tatizo ni kwamba mara nyingi ni vigumu kumeza ukweli mchungu.Msiotaka endeleeni kutotaka,lakini ukweli unabaki kuwa Secretary of State (awe Clinton au hata ingekuwa Sarah Palin) kutembelea Afrika kusini mwa Sahara na kutotia mguu Tanzania inapaswa kuwa ishu.May be si ishu kwenu lakini wenye kuipenda nchi yao wanapaswa kushtuka,just like "ziara ya kwanza ya Rais kutoka Afrika-Jakaya Mrisho Kikwete" ilivyopata mwangwi mkubwa.

Wow! Just wow!
 
..imeelezwa/nimeeleza ziara hiyo ni ya KIKAZI.

..mama Clinton anaandamana na Waziri wa Kilimo Tom Vilsack na US Trade Representative.

..ujumbe/theme ya ziara ya mama Clinton ni masuala ya AGOA, ambayo ndugu yetu Rev.Kishoka,Mkandara, etc walitumia weekend zao kuyajadili hapa jamii forums.

..kwangu mimi naona huu ni ujumbe mzito, uliona na mwelekeo, na unaoweza kuwa na manufaa kwa Wakenya.

..wakati Tanzania tunadai Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu, Raisi wetu alipokwenda White House hakuambatana na Waziri wa Kilimo.

..sidhani kama Mwai Kibaki amefanya ziara nyingi na zenye gharama kubwa kama za Raisi wetu kwenda USA.

..kama ni kuwekeza ktk Diplomasia inaelekea Kenya wanapata returns kubwa kuliko sisi Watanzania.

..sisi waTanzania tukitembelewa na ujumbe mzito kama huu unakuta serikali inazungumzia migogoro ya majirani zetu.

..Somalia ni jirani na Kenya, mbona Clinton haendi kuzungumzia masuala ya ugaidi na piracy badala yake anakwenda kushughulikia KILIMO na BIASHARA[agoa].

..wengine mnanilaumu kwa mentality ya "ombaomba" quite the opposite to my post. ziara ya mama Clinton Kenya itahusu KILIMO na BIASHARA, sasa ombaomba imetoka wapi hapo?

..Tanzania ina ardhi kubwa na yenye rutuba kuliko Kenya, tuna amani kuliko Kenya, tuna population/nguvu kazi na kwa maana nyingine soko kubwa kuliko Kenya, sasa inakuwaje ktk masuala ya kilimo na biashara mama Clinton anatembelea Kenya na siyo Tanzania?

NB:

..ndiyo Raisi wetu alikuwa wa kwanza kualikwa White House.

..je ni kwanini tumeshindwa kuwa nchi ya kwanza kutembelewa na ujumbe mahsusi toka USA kujadili KILIMO[uti wa mgongo wa taifa letu] na BIASHARA?

Hapa moja bila....
 
Kweli niongoni mwetu kuwa watu wana wivu wa ajabu.

Yaani watu na akili zao hawaoni umuhimu wa ziara ya Clinton, Kenya kujadili Biashara na Kilimo...!!

Leo wana JF wanasema hakuna faida ya "Foreign Direct Investment" kutoka Marekani..!!

Iwapo umeelimika lakini hukubaliani na huo ukweli...hakuna sababu nyingine inayokusumbua zaidi ya Wivu. Sababu naamini kabisa Clinton angekuwa anakuja Tanzania kujadili Kilimo na Biashara hii topic ingejaa maoni tofauti kabisa.
 
Mwache aende huko Kenya...kwani akienda ndio nini? Sisi tufanye mambo yetu kivyetu vyetu bila kutaka kuwa impress wazungu na tutafanikiwa tu
Nyani,
I really wish we were doing our thing kivyetu. The problem is we are doing nothing. We are just reacting, copying, cutting, and pasting. Soma ile post ya Rev. Kishoka jinsi Tz ilivyoamua kutoa stimulus package kwa kampuni ambazo hazifanyi kitu then you will see what I am saying. I wish we were really doing something. I would have been a very proud Tanzanian.
 
Kwa hiyo kwa sababu hatufanyi kitu basi ndio tuwe wababaikaji? Kwa mwendo huu Obama akija Tanzania na kumwambia Kikwete abweke kama mbwa Kikwete hatasita....
 
Kweli niongoni mwetu kuwa watu wana wivu wa ajabu.

Yaani watu na akili zao hawaoni umuhimu wa ziara ya Clinton, Kenya kujadili Biashara na Kilimo...!!

Leo wana JF wanasema hakuna faida ya "Foreign Direct Investment" kutoka Marekani..!!

Iwapo umeelimika lakini hukubaliani na huo ukweli...hakuna sababu nyingine inayokusumbua zaidi ya Wivu. Sababu naamini kabisa Clinton angekuwa anakuja Tanzania kujadili Kilimo na Biashara hii topic ingejaa maoni tofauti kabisa.

Yebo Yebo,

'Wivu' hautoshi kumkosonyoa...

Uelevu wa mapana umefinywa...Ni mpotevu haswa!
 
Kweli niongoni mwetu kuwa watu wana wivu wa ajabu.

Yaani watu na akili zao hawaoni umuhimu wa ziara ya Clinton, Kenya kujadili Biashara na Kilimo...!!

Leo wana JF wanasema hakuna faida ya "Foreign Direct Investment" kutoka Marekani..!!

Iwapo umeelimika lakini hukubaliani na huo ukweli...hakuna sababu nyingine inayokusumbua zaidi ya Wivu. Sababu naamini kabisa Clinton angekuwa anakuja Tanzania kujadili Kilimo na Biashara hii topic ingejaa maoni tofauti kabisa.
Siyo kwamba hatuoni umuhimu wa ziara hiyo. Bali kinachokera ni kule kusema "Kenya wametupiku" eti kwa kuwa wametembelewa na hao waheshimiwa. Hakuna tofauti na namna walivyo-react wakeny aKikwete alivyokuwa wakwanza kufika white house kabla ya mwai kibaki. Nao walismema Tz wametupiku. Ni mawazo ya kitoto. Kana kwamba maendeleo yetu yanaletwa na hao bila sisi kufanya kazi. Tukisema "kenya wanatupiku" tuseme tukionesha walivyopiga maendeleo makubwa, siyo kwa kutemebelewa na jamaa wa marekani. Hayo ni mawazo mufilisi sana.
 
Next week's visit by an American trade delegation led by Secretary of State Hilary Clinton is expected to boost Kenya's image - tarnished by last year's post-election violence - as an investment destination.
The US embassy in Nairobi announced that Mrs Clinton, Department of Agriculture Secretary Tom Vilisack and Trade Representative Ron Kirk will attend the Africa Growth and Opportunity Act Forum to be held in Nairobi from August 4-8.
"It will be a boon to the country's image if the government utilises the opportunity to state concrete steps it has taken to help improve the country's image from last year's problems," said Eugene Young, the embassy's economic counsellor.
The theme of the Agoa forum is "Realising the full potential of Agoa through expansion of trade and investment."
The forum comes at a time when Kenya's leadership has been criticised by the Obama administration for corruption and bad governance.
The government will spend more than $1.25 million on the forum in what analysts see as an effort to clean up its image in order to attract international investors.
In addition, the Agoa forum is expected to bring to light the current position of Kenyan exports to the United States, especially at this time when the US government is concerned about the health of its citizens.
Minister for Trade Amos Kimunya was upbeat saying, "It is a challenge to East African exporters to rebrand their goods so as to improve their quality. Once they attain the standard quality dictated by the market, they will be able to increase the volume of their exports as well as diversify the range of their exports."
"The hosting of the forum in Kenya offers a great opportunity for American importers and investors to see and assess first hand East Africa's needs and challenges in regard to Agoa. In addition, the forum will build on the opportunities and deliberate on how to overcome the existing challenges," he said.
Mr Kimunya said the government is in the process of setting up an export development fund to finance exporters especially in small and medium enterprises.
Statistics from the Trade Minis-try show that Kenya exported goods worth more than $250 million to the United States under the Agoa arrangement last year, compared with $237.5 million in 2007. The best figures Kenya ever achieved under Agoa was in 2006 when it exported goods worth $262.5 million.
In contrast, US exports to Kenya almost doubled from $309.13 million in 2006, to $557.375 million in 2007.
Kenya imports from the US aircraft parts, machinery and electronic equipment, as well as pharmaceuticals., while the US imports Kenyan tea, coffee, textile goods, processed nuts and pyrethrum.
The conference is being held in conjunction with supporting partners, among them the US government - which initiated the Agoa arrangement under the Bush administration to boost exports of selected products from 39 sub-Saharan Africa countries- the American Chamber of Commerce (Kenyan chapter), Kenya's Ministry of Trade, the Kenya Association of Manufacturers, the Export Promotions Council and the Export Processing Zones Authority.
Participants will be drawn from 38 countries as well as investors from the US.
The sectors to be represented at the conference include, transport, oil seeds and gas, aircraft and parts, construction machinery among others.
Agoa was enacted in 2000 by the US government to offer duty-free market access by sub-Saharan African countries to the US market.
Beneficiary countries commit themselves to establish a market-based economy, the rule of law and policies to reduce poverty.
Mr Kimunya said the forum will review its impact and explore new ways of exploiting other opportunities created by the Act.

From the East African.
 
Back
Top Bottom