Hillary Clinton atangaza kugombea urais

Hillary Clinton atangaza kugombea urais

Anasema atawalinda wananchi na hao wanaonufaika zaidi na uchumi(The 1% elite)wakati hao hao 1% ndiyo funder wake wa campaign.

Clinton's lavish lifestyle & obsession with money completely at odds with ordinary Americans she claims to represent.Wanasiasa ni waongo muno.
By “those at the top,” Hillary is presumably referring to the 1% – Wall Street cronies, transnational banks and huge corporations – in other words the very entities that bankrolled Hillary’s 2008 presidential campaign.

Out of the top 20 contributors to Hillary in 2008, six were banks – JPMorgan Chase, Citigroup, Morgan Stanley, Merrill Lynch and crucially Lehman Brothers and Goldman Sachs – two of the institutions directly implicated in the 2008 financial crash which left millions of Americans financially destitute.

Making up the rest of the top 20 were law firms as well as monolithic corporations like Time Warner, Microsoft and General Electric. Almost all of these entities will again contribute to Hillary for her 2016 campaign.

While vowing to protect ordinary Americans from the fallout of corporate and Wall Street cronyism, Hillary is being funded by corporate and Wall Street cronies.
ImageUploadedByJamiiForums1428942782.126651.jpg

The above figures are the 1% elite funders.

“I’m running for president. Everyday Americans need a champion, and I want to be that champion,” Hillary tweeted.

But according to every rational observer, Hillary has nothing whatsoever in common with “everyday Americans”. Her attempt to associate her cynical political campaign with working and middle class people is a complete insult.

Hillary continues to give paid speeches for which she rakes in $300,000 per event, behavior described by one Democratic operative as “baffling” given the “brand” of her campaign as a representative for “everyday” hard working Americans for whom it would take years to earn a similar amount.

“I think it really questions the sincerity of whether she’d be a champions for women’s rights when she accepts money from a country like Brunei that stones to death people for adultery,” Senator Rand Paul told CNN yesterday.
 
No way, no how Hillary could win, hana UWEZO WA KUONGOZA....first, she is lucky to use her husband umbrella, and secondly gender issue, ana tegemea sympathy ya wanawake wengi USA...
I do wonder, yaani Democratic, wamekosa watu wenye uwezo wa akina John Kerry atleast, Bill Clinton, etc...
Hillary she has no personal capability to lead, she will be leading from BEHIND....which is not a sign of a good LEADER....
We need new faces in White House, USA sio ya Bushes and Clintons....USA isn't the monarchy...!!!
Hafai...!!

Mh!,.....I smell SEXISM!
 
Hiki kibibi kwisha habari yake.

Rti kimekuja na mkakati mpya sasa hivi baada ya kuangukia pua 2008.

Na vile kina maradhi ya ubongo mwaka huu lazima kianguke majukwaani.
 
Anasema atawalinda wananchi na hao wanaonufaika zaidi na uchumi(The 1% elite)wakati hao hao 1% ndiyo funder wake wa campaign.

Umeona eeh?

Eti kinajipambanua kuwa ni kipiganaji cha watu wa middle class wakati chenyewe na mumewe ni mamilionea wa kutupwa.

Unaambiwa hakijaendesha gari kwa zaidi ya miaka 20!

Kiko so out of touch na nina uhakika hakutakuwa na coronation.
 
Umeona eeh?

Eti kinajipambanua kuwa ni kipiganaji cha watu wa middle class wakati chenyewe na mumewe ni mamilionea wa kutupwa.

Unaambiwa hakijaendesha gari kwa zaidi ya miaka 20!

Kiko so out of touch na nina uhakika hakutakuwa na coronation.

Mkuu ulisoma hii habari?
Richest 1% to own more than half world's wealth by 2016 - Oxfam

http://rt.com/news/223963-oxfam-wealth-davos-report/

Sasa Ukiangalia dunia KWA ujumla hao elite wengi wanatoka US ikifuatiwa na nchi Kama Russia na Uchina.
Mimi nilivyosoma hiyo habari nilijisikia vibaya sana cause at the end of the day nawafanyia kazi hao 1% no matter how hard I work.

Ukiangalia hao 1% ndiyo wamemchangia imagine anachangiwa dola laki tano na kuendelea.Hivi hata iwe mimi au wewe utaweza kumkoromea aliyekuchangia pesa nyingi hivyo?Muongo sana she can never break the difference of income classes.

As the New York Times reports, the Clinton Foundation has also taken at least $10 million since 2001 from Saudi Arabia, a country that treats female drivers as terrorists and oversees a system of “violence against women, human trafficking and gender discrimination”.

ImageUploadedByJamiiForums1429073994.970867.jpg
Hao ni foreign donors.

Jamani people are lucky getting alots
Of money hakika the 1% elite will continue to control the economy,have big say and rule the world.Mwenye nacho ataendelea kuongezewa MWENYE kidogo atanyang'anywa.
 
Back
Top Bottom