Hillary Clinton alizwa simu mbili -Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hillary Clinton alizwa simu mbili -Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Jun 12, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Pengine waweza hisi hadithi lakini ndicho kituko kinachoongelewa kwamba kuna simu mbil za mh clinton azionekani
  binafsi nijuavyo akuna ukweli halisi maana kama zimepigwa naamini uslama nao wamehusika na pia kuna kamera
  inayoonyeshwa kila mzigo unapotolewa sasa kwa nini asiende kuangali na badala yake kuanza kutishana waandikiane barua
  nafikiri ifike wakati tujithamini wenyewe

  Any way tuwaachie wenyewe ..ifike wakati tujipende wenyewe..ni ngumu kuiibiwa mtu kama clinton sijui
  wenye upeo na mizigo ya diplomats naomba tusaidiane kwa hilo
   
 2. D

  Dotori JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 547
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hii kali ya mwaka! Naona wamemkaribisha Bongo
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ni kweli au unatania!
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Acha kusema Tanzania sema Dar es salaam,maana ndipo simu imeibiwa. Nyie watu wa Dar wezi sana hadi mnatia aibu.
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  C amekuja na walinz wake,sa ce wabongo 2nahuckaje hapo wajamen??
   
 6. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukiamini stori hii maana yake kwanza unaamini kuwa mtu akisafiri basi simu yake anaiweka na mizigo mingine (yaani habebi kama hand luggage)....na pili unaamini kuwa mizigo ya clinton haitapita kama diplomatic bag..ambayo mabalozi na viongozi wakubwa hupitia.
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Boooongo ee!bongo darisalamu!
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Jun 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  viongozi wenyewe wamekaa kiwizi wizi tu watakua hao watu wa usalama...hahaaa itakuwa ni iphone 4 kitu 32gb...hina noma najua mida mida kitaingia mitaa ya wanangu pale kwa bakhresa..... hahaaaaa...madenge ushanifahamu lakini??? kitu kikifika nibipu kwa namba yangu ya zantel
   
 9. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #9
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Tatizo la usalama wa taifa ni kwamba mtu anapewa kazi eti kwa sababu kachunga ng'ombe za amilijeshi mkuu kwa mda mrefu bila matatizo kwa hiyo anapewa kazi ya usalama wa taifa kama zawadi

  sasa unategemea nini hapo,wengine bado wana katabia kale kale ka wizi hehehehehehehe

  haya sasa tujiandae kulipa hizo simu kwa maelfu ya kilogram za dhahabu,tukikataaaa ni kichapo
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,669
  Trophy Points: 280
  Duh! aibu kubwa! huyu mama kasafiri nchi mbali mbali lakini hili halijawahi kumtokea ila Bongo!!! Mhhhh! Hao wote walioshughulikia mizigo ya Clinton na waliomo katika msafara wake ningewakamata wote na kuwatia ndani (pamoja na vingunge wao waliopo Airport wakati mizigo hiyo ilipokuwa inashughulikiwa) mpaka warudishe hizo simu.
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  kumbe unajuakitu! afu inamaana hillary anatembea na simu mbili, ya tigo na voda? ukiandika fiction stories inalazimu ufanye utafiti kidogo bwana! na mizigo yake imekuwa checked in kama abiria wa economy class eeeh?
   
 12. C

  CLEMENCY JF-Expert Member

  #12
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hadithi hii kakufundisha nani?
   
 13. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  kama ni kweli tutakosa mikopo bei nafuu kwa miaka minne mfululizo toka sasa.
   
 14. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Huku ndiko wasomi wa JF wanakoelekea; kukubali kila jambo bila kuhoji wala kutafakari. Ukielewa taratibu za uwanja wa ndege juu ya VIP na Diplomats unapata jibu kuwa thread nzima iko belated na tarehe yake sahihi ya kutoka ilikuwa April 1st
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Story haina chembe ya ukweli! MODS jukwaa la utani tafadhali
   
 16. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  mamayangu mwanamke
   
 17. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #17
  Jun 12, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Tatizo kila kitu kwenye maisha unahisi kudanganywa hata ndoa uliokirri mwenye kwenye shida na raha wiki unahisi kuibiwa haya pole sana njoocargo uliza wakusaidie na kinachoendelea sasa wanatuma mwisho kesho saatano na usalama wameombwa waandike maelezeo waliokuwepo ilikuwaje ???kaka heshimu muda wa mtu sio wote wanamuda wa kuchezea kwenye comp
   
 18. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  kazi ipo atuaminiani wenyewe kwa wenyewe
   
 19. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kuna ukweli fulani.....tungoje habari zaidi
   
 20. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  chukua mali ya mzungu haina hasara
   
Loading...