Hillary Clinton akosoa sera ya mambo ya nje ya Obama

Hillary Clinton akosoa sera ya mambo ya nje ya Obama

Mugabe na Madiba hawakutuma askari wao kuua raia au kujilipua ktk maeneo ya raia. Mpigania uhuru hawezi kurusha maroketi ovyo ovyo.Wala Madiba na Mugabe hawakuwahi kusema kwamba watawaondoa makaburu duniani.
Tatizo lako wewe hujui vita vya mgabe vilikwenda vipi nadhani hata hujui unaongea nini, mgabe paa kesho anawauwa wazungu weupe, au kwa kuwa mwafrika mwenzako ndio ukasema hauwi? Mgabe anawauwa wafrika wenzake pia wacha wazungu, lakini huwezi kusema:cool2:

Kuhusu Madiba, yeye hakuweza kuingia vita sababu alikuwa hana nguvu na hana silaha angekuw anazo asinge kubali kuingia jela miaka yote ile mpaa pale amezeaka ndio wakamtumia kisiasa wazungu, sa hapo mimi naona Mandiba alikuwa hana nguvu tu za kupigana nao, akawa hana njia lazima akubali wanavyo taka wazungu ili apewe uraisi:A S wink:
 
nna hakika hujawahi kuwasoma magaidi wa israel irgun ambao baadae ndo wakaja kuongoza israel.
The King David Hotel bombing
was an attack carried out on
Monday July 22, 1946 by the
militant right-wing Zionist
underground organization, the
Irgun, on the British
administrative headquarters
for Palestine, which was
housed in the southern wing
[1] of the King David Hotel in
Jerusalem.[2][3][4] 91 people
of various nationalities were
killed and 46 were injured.[5]
The hotel was the site of the
central offices of the British
Mandatory authorities of
Palestine, principally the
Secretariat of the Government
of Palestine and the
Headquarters of the British
Forces in Palestine and
Transjordan.[5][6] The attack
initially had the approval of the
Haganah (the principal Jewish
paramilitary group in Palestine).
It was conceived as a response
to Operation Agatha (a series
of widespread raids, including
one on the Jewish Agency,
conducted by the British
authorities in the British
Mandate of Palestine) and was
the deadliest directed at the
British during the Mandate era
(1920–1948).[5][6] The
explosion caused more
casualties than any subsequent
bombing carried out in the
Arab-Israeli conflict.[7]
The Irgun planted a bomb in
the basement of the main
building of the hotel, whose
southern wing[8] housed the
Mandate Secretariat and a few
offices of the British military
headquarters. Warnings were
sent by telephone, including
one to the hotel's own
switchboard, which the hotel
staff decided to ignore, but
none directly to the British
authorities.[6] A possible
reason why the warning was
ignored was that hoax bomb
warnings were rife at the time.
[6] From the fact that a bomb
search had already been
carried out, it appears that a
hoax call or tip-off had been
received at the hotel earlier that
day.[5] Subsequent telephone
calls from a concerned
Palestine Post staff member
and the police caused
increasing alarm, and the hotel
manager was notified. In the
closing minutes before the
explosion, he called an
unknown British officer, but no
evacuation was ordered.[6] The
ensuing explosion caused the
collapse of the western half of
the southern wing of the hotel.
[6] Some of the inflicted deaths
and injuries occurred in the
road outside the hotel and in
adjacent buildings.[6]
Controversy has arisen over the
timing and adequacy of the
warnings and the reasons why
the hotel was not evacuated.[6]
Background
See also: List of Irgun attacks
Motivation for the bombing
Zionist leaders arrested in
Operation Agatha. Left to right:
David Remez, Moshe Sharett,
Yitzhak Gruenbaum, Dov Yosef,
Shenkarsky, David Hacohen,
Halperin.
The Irgun has been viewed as
a terrorist organization or
organization which carried out
terrorist acts.[9][10] In
particular the Irgun was
branded a terrorist
organisation by Britain[11] and
the Jewish Agency.[12]
The Irgun committed the attack
in response to Operation
Agatha, known in Israel as
"Black Saturday".[13] British
troops had searched the
Jewish Agency on June 29 and
confiscated large quantities of
documents which contained
incriminating information
about the Agency's involvement
with violent acts. The
intelligence information was
taken to the King David Hotel,
[14] where it was initially kept
in the offices of the Secretariat
in the southern wing. In order
to destroy the documentation,
the Irgun therefore determined
to destroy that wing of the
hotel.
 
Tatizo lako wewe hujui vita vya mgabe vilikwenda vipi nadhani hata hujui unaongea nini, mgabe paa kesho anawauwa wazungu weupe, au kwa kuwa mwafrika mwenzako ndio ukasema hauwi? Mgabe anawauwa wafrika wenzake pia wacha wazungu, lakini huwezi kusema:cool2:

Kuhusu Madiba, yeye hakuweza kuingia vita sababu alikuwa hana nguvu na hana silaha angekuw anazo asinge kubali kuingia jela miaka yote ile mpaa pale amezeaka ndio wakamtumia kisiasa wazungu, sa hapo mimi naona Mandiba alikuwa hana nguvu tu za kupigana nao, akawa hana njia lazima akubali wanavyo taka wazungu ili apewe uraisi:A S wink:

Muulize pale Mazimbu Morogoro aplikuwa na kambi ya wacheza muziki au wapiganaji wa Afrika ya kusini ? kusema kwamba mandella hakua au mpigania Uhuru haui mtu ni utoto kabisa, ikiwa wanasiasa wetu uchwara hapa Tz wanasababisha wananchi kupoteza maisha na wengine kuwa vilema huku wakijinadi kwamba eti nao wao wanapigania ukombozi zidi ya beberu CCM, sembuse walewanaopigana kujikomboa kutoka kwenye mzingiro kule Gazza! we umeona wapi eti watumnapewa uhuru tu wa kumiliki bastola , wanakuzungguka wanavifaa vya kisasa kabisa vya kivita kasha unasema eti uko huru?
 
Siungi mkono mauaji ya wale watoto na kina mama wa kipalestina ila na nyie mnaotoka povu kuwatetea isis na hamas nashindwa kuwaelewa, mnataka kusema wanachofanya hamas kurusha rocket ndani ya israel ni halali?
Hata mi ningekua muisrael ningefanya walichofanya au zaidi ya hapo.

Watafanyaje ikiwa Gazaa yote imezingirwa mkuu? hivi hali ile wanayoishi watu wa Gazza leo ingekuwa wewe ni mmoja wa raia wale ungewafurahia waizrael? kama Ezrael wanataka amani ya kweli basi watoe uhuru wa kweli kwa wapalestina iwe inchi yenye haki ya kujitawala bila kuingiliwa mambo yake kama ilivyo yenyewe Izrael .
 
Muulize pale Mazimbu Morogoro aplikuwa na kambi ya wacheza muziki au wapiganaji wa Afrika ya kusini ? kusema kwamba mandella hakua au mpigania Uhuru haui mtu ni utoto kabisa, ikiwa wanasiasa wetu uchwara hapa Tz wanasababisha wananchi kupoteza maisha na wengine kuwa vilema huku wakijinadi kwamba eti nao wao wanapigania ukombozi zidi ya beberu CCM, sembuse walewanaopigana kujikomboa kutoka kwenye mzingiro kule Gazza! we umeona wapi eti watumnapewa uhuru tu wa kumiliki bastola , wanakuzungguka wanavifaa vya kisasa kabisa vya kivita kasha unasema eti uko huru?
Hahaha missiles zinatosha kuwamaliza, wenzako kila kukicha wanaomba vita isimamishwe wamepewa tena 72 hrs bada ya Israel kuomba Egypt awapatanishe tena, na kama hujui kule Askole, Asqalaan, na sehemu zote zilizo ambatana na gaza hapakaliki usinge ongea, wewe ni kipofu na kiziiwi hujui unaongea nini.

Natanyahau yuko hatarini sasa, anaogopa kusema vita imeisha anajua ataondolewa uwaziri mkuu, anaogopa kuendeleza vita sababu hakuna alicho kipata zaidi ya kipigo.

Tunakubali alicho kifanya Natanyahau ni kuvunja majumba na kuwauwa wanawake, watoto wachanga, kubomoa Hospital, Misikit, Power station zaidi ya hapo hakuna alicho kifanya.

Kuhusu mandela, hebu niletee wapi Madiba alikuwa ana jeshi ?
 
Watafanyaje ikiwa Gazaa yote imezingirwa mkuu? hivi hali ile wanayoishi watu wa Gazza leo ingekuwa wewe ni mmoja wa raia wale ungewafurahia waizrael? kama Ezrael wanataka amani ya kweli basi watoe uhuru wa kweli kwa wapalestina iwe inchi yenye haki ya kujitawala bila kuingiliwa mambo yake kama ilivyo yenyewe Izrael .

Tatizo ni ardhi mkuu.Suala la Palestine kuwa taifa si tatizo kubwa,tatizo ni demands zao kuhusu ardhi,na pia wao wenyewe wapalestina bado wanapishana mitazamo kuhusu uhalali wa Israel kuwa taifa.Wapo wasioitambua Israel kama taifa halali,na harakati zao zinalenga kuifuta Israel.Hivyo Israel inaona kuwa kuruhusu watu wa aina hiyo kuunda taifa pua na mdomo,ni kuwapa hatua kubwa ya kujiimarisha dhidi ya Israel maana ardhi inayogombewa ni hiyo hiyo.Kwa mf wapalestina wanaitaka Yerusalem,kitu ambacho kamwe myahudi hawezi kuruhusu kitokee.Kuna misimamo fulani upande wa Palestine inabidi ibadilike ili kuruhusu mijadala yenye ufumbuzi.Na hapa nailenga sana Hamas.Tusisahau history ya eneo hilo ambalo kila baada ya muda fulani limekuwa na mmiliki tofauti.Mgogoro wa ardhi ya Israel na Palestine ni mgogoro wa enzi na enzi.
 
Mkuu napingana na wewe 100% ... Hakuna muislam mwenye msimamo mkali! Uislam ni complete ways of life! Watu wa Magharibi wanajaribu kuingiza mambo yasiyokuwepo ktk uislam kwa lengo la kupotosha Uislam! Bahati mbaya sana Waumini wengi siku hizi hawasomi na kuifahamu dini yao!!! Kama ambavyo mifumo mingine ilipigwa vita sana Uislam nao ni tishio kwa Mabeberu maana Uislam unakataza Casinos, Viwanda vya Pombe, Riba yenye kuwaumiza wananchi wengi, inakataza kujilimbikizia mali bila kuwajali binadamu wenzio ... vyote hivyo vinakinzana sana na mifumo ya kibepari ambayo msingi wake mkuu ni Unyonyaji... Islamic Banking system inashika kasi duniani! Islamic Bond "Skuk" imewezesha nchi nyingi za Asia kuendelea ... Itoshe kusema wenye kuvaa na kuongea kiarabu haitoshi kuwaita Waislam ... Vigezo vya kuwa Muislam vipo na Muislam hujulikana kwa matendo yake mema....
Hakiki mwogope yeyote ajiitaye mwislam mwenye msimamo mkali maana mungu kamnyima ufahamu co udini mimi mwenyewe ni muislamu safi
 
Shifting blame ni njia mojawapo ya propaganda!- Kuuwa auwe Israel, halafu lawama apewe Hamas
ISRAEL INA UWEZO MKUBWA WA KIINTELIJENSIA WA KUDEAL NA HAMAS BILA KULAZIMIKA KUUWA INDESCRIMNATELY, WANAWAKE NA WATOTO WASIO NA HATIA!!

JIULIZE KAMA RAIA KADAA WA ISRAEL WANGEKUWA WAMETEKWA NA HAMAS KATIKA NYUMBA AMBAYO HAMAS WANAITUMIA KURUSHIA MABOMU, JE ISRAEL WANGEILIPUA HIYO NYUMBA AU WANGETUMIA MBINU MBADALA KUWAOKOA?
 
Hakiki mwogope yeyote ajiitaye mwislam mwenye msimamo mkali maana mungu kamnyima ufahamu co udini mimi mwenyewe ni muislamu safi

Wewr ni ni mnafiki na huenda huenda akili yako inarudi kinyume nyume

watu wana laani mauaji ya aina yyt
Umekremushwa wewe
 
Wakati mwingine unaweza ukadhani labda ni chuki! La hasha! Nakuhakikishia mimi nimeishi na Wazungu nawafahamu vizuri sana, wengi wao ni wajinga kuliko na hawajui serikali zao zinafanya madhara kiasi gani katika hii dunia... Mauaji ya Wazungu haya kuanza leo wa juzi, haya yanayofanyika West Africa yaliwahi kutokea miaka mingi, yanayofanyika kwa Wapalestina na Uarambuni ni mwendelezo wa kizazi cha wauaji (Wazungu) kutawala dunia... Sama kwa utulivu habari hii:- According to research published from 2009, in 1789 the British deliberately spread smallpox from the First Fleet to counter overwhelming native tribes near Sydney in New South Wales. In his book "An Indelible Stain", Henry Reynolds described this act as genocide.[SUP][80][/SUP] Many scholars disagree that the initial smallpox was the result of deliberate biological warfare and have suggested other causes.[SUP][81][/SUP][SUP][82][/SUP][SUP][83][/SUP]
The Black War was a period of conflict between British colonists and Tasmanian Aborigines in Van Diemen's Land (now Tasmania) in the early 19th century. The conflict, in combination with introduced diseases and other factors, had such devastating impacts on the Tasmanian Aboriginal population that it was reported the Tasmanian Aborigines had been exterminated.[SUP][84][/SUP][SUP][85][/SUP] Historian Geoffrey Blainey wrote that by 1830, "Disease had killed most of them but warfare and private violence had also been devastating."[SUP][86][/SUP] In the 19th century, smallpox was the principal cause of Aboriginal deaths.[SUP][87][/SUP]
Lemkin and most other comparative genocide scholars present the extinction of the Tasmanian Aborigines as a textbook example of a genocide, while the majority of Australian experts are more circumspect.[SUP][88][/SUP][SUP][89][/SUP] Detailed studies of the events surrounding the extinction have raised questions about some of the details and interpretations in earlier histories.[SUP][90][/SUP][SUP][91][/SUP] Curthoys concluded, "It is time for a more robust exchange between genocide and Tasmanian historical scholarship if we are to understand better what did happen in Tasmania."[SUP][88][/SUP]
On the Australian continent during the colonial period (1788–1901), the population of 500,000–750,000 Australian Aborigines was reduced to fewer than 50,000.[SUP][92][/SUP][SUP][93][/SUP] Most were devastated by the introduction of alien diseases after contact with Europeans, while perhaps 20,000 were killed by massacres and fighting with colonists.[SUP][92][/SUP]
Hongera kwa kuwa na chuki dhidi ya nchi za Magharibi na Israel,Australia yenyewe hailalamiki lakini Waarabu koko ndiyo wamenunua kesi Hongera sana.
 
T2XF1N.png
 
nna hakika hujawahi kuwasoma magaidi wa israel irgun ambao baadae ndo wakaja kuongoza israel.
The King David Hotel bombing
was an attack carried out on
Monday July 22, 1946 by the
militant right-wing Zionist

to destroy that wing of the
hotel.
Hivi wewe lini utakuwa na kuacha kuwatetea MAGAIDI WA KIPALESTINA HAMAS?
 
Shifting blame ni njia mojawapo ya propaganda!- Kuuwa auwe Israel, halafu lawama apewe Hamas. ISRAEL INA UWEZO MKUBWA WA KIINTELIJENSIA WA KUDEAL NA HAMAS BILA KULAZIMIKA KUUWA INDESCRIMNATELY, WANAWAKE NA WATOTO WASIO NA HATIA!!JIULIZE KAMA RAIA KADAA WA ISRAEL WANGEKUWA WAMETEKWA NA HAMAS KATIKA NYUMBA AMBAYO HAMAS WANAITUMIA KURUSHIA MABOMU, JE ISRAEL WANGEILIPUA HIYO NYUMBA AU WANGETUMIA MBINU MBADALA KUWAOKOA?

Hamas militants killed at least 25 Gazan civilians suspected of collaborating with Israel. Most of the extra-judicial killings of suspected collaborators took place during a brief "humanitarian" cease-fire last Thursday. Imagine if Israel did things the way HAMAS does

Unfortunately the terrorist animals have been hiding behind a facade of innocent by-standers and put their own people at risk at every opportunity. If the intent is to stop the death of innocents, get rid of the animals responsible and stop blaming the victims.

War is inherently dangerous by design,it`s sole purpose is to cause death and destruction by inflicting more than you receive to bring it to a decisive end. The simple truth is if the Arabs in Palestine are going to kidnap any IDF soldier they are going to pay a price for it.
What a joke do you for one minute believe Hamas is concerned with anybodies human rights?!. Hamas is well known for their humanitarian treatment they keep your suffering to a minimum and cap you in the back of the head.

Trying to civilize war is like putting lipstick on a pig. The Geneva convention is enough; Troops are lost to "friendly fire" all the time. Often you have to call a fire mission on your own position. When at war with a country, you are at war with all of it, military, civilians, infrastructure, etc. Trying to differentiate between the "good" and "bad" of their population is not war, it is sportsmanship.
 
Wakati mwingine unaweza ukadhani labda ni chuki! La hasha! Nakuhakikishia mimi nimeishi na Wazungu nawafahamu vizuri sana, wengi wao ni wajinga kuliko na hawajui serikali zao zinafanya madhara kiasi gani katika hii dunia... Mauaji ya Wazungu haya kuanza leo wa juzi, haya yanayofanyika West Africa yaliwahi kutokea miaka mingi, yanayofanyika kwa Wapalestina na Uarambuni ni mwendelezo wa kizazi cha wauaji (Wazungu) kutawala dunia... Sama kwa utulivu habari hii:- According to research published from 2009, in 1789 the British deliberately spread smallpox from the First Fleet to counter overwhelming native tribes near Sydney in New South Wales. In his book "An Indelible Stain", Henry Reynolds described this act as genocide.[SUP][80][/SUP] Many scholars disagree that the initial smallpox was the result of deliberate biological warfare and have suggested other causes.[SUP][81][/SUP][SUP][82][/SUP][SUP][83][/SUP]
The Black War was a period of conflict between British colonists and Tasmanian Aborigines in Van Diemen's Land (now Tasmania) in the early 19th century. The conflict, in combination with introduced diseases and other factors, had such devastating impacts on the Tasmanian Aboriginal population that it was reported the Tasmanian Aborigines had been exterminated.[SUP][84][/SUP][SUP][85][/SUP] Historian Geoffrey Blainey wrote that by 1830, "Disease had killed most of them but warfare and private violence had also been devastating."[SUP][86][/SUP] In the 19th century, smallpox was the principal cause of Aboriginal deaths.[SUP][87][/SUP]
Lemkin and most other comparative genocide scholars present the extinction of the Tasmanian Aborigines as a textbook example of a genocide, while the majority of Australian experts are more circumspect.[SUP][88][/SUP][SUP][89][/SUP] Detailed studies of the events surrounding the extinction have raised questions about some of the details and interpretations in earlier histories.[SUP][90][/SUP][SUP][91][/SUP] Curthoys concluded, "It is time for a more robust exchange between genocide and Tasmanian historical scholarship if we are to understand better what did happen in Tasmania."[SUP][88][/SUP]On the Australian continent during the colonial period (1788–1901), the population of 500,000–750,000 Australian Aborigines was reduced to fewer than 50,000.[SUP][92][/SUP][SUP][93][/SUP] Most were devastated by the introduction of alien diseases after contact with Europeans, while perhaps 20,000 were killed by massacres and fighting with colonists.[SUP][92][/SUP]
There's nothing can convince me believing that all Human beings are equally the same, be it in thinking, living, understanding, perceptions, feelings,knowledge, etc. Trying to generalize them is a biggest mistake of all time.Just like Whites, ..Claiming Africans knows much on what their Governments are doing in this very world is also a mistake too.
 
Stick kwenye mada badala ya kuchukua line moja na kuanza ku-spin ...
There's nothing can convince me believing that all Human beings are equally the same, be it in thinking, living, understanding, perceptions, feelings,knowledge, etc. Trying to generalize them is a biggest mistake of all time.Just like Whites, ..Claiming Africans knows much on what their Governments are doing in this very world is also a mistake too.
 
Dah! Wale watoto wachanga mamia kwa maelfu nao mnawaita magaidi, wenye kuua wanawake na watoto, wenye kuharibu hospitals na mifumo ya maji wewe unawaona ni watu safi? ... Una mdudu kichwani si bure ...
Hivi wewe lini utakuwa na kuacha kuwatetea MAGAIDI WA KIPALESTINA HAMAS?
 
Back
Top Bottom